Kamusi ya kichaga cha Marangu kwenda kiswahili

Ndio maana nimesema Lugha ya" kimarangu" wametohoa kutoka maneno ya kimasai hao siii wachaggha. Wachaggha ni wa uru, wa machame na wakibosho ambao wote (1) maziwa = malela (2) maji = muda (3)pombe = wari

Maziwa unaweza ita malela au marua,maji = mringa, pombe =wari √
Makosa ni kusema wauru na kibosho ndio wachaga asili, ukweli wa chaga wamegawanyika katika sehemu nne kibosho, machame marangu na rombo, hao uru,oldmosh,mbokomu,kirua, sia, nk ni sehemu tu ya hao wanne. Kwa hio wauru sio wachaga asili bali wamegawnyika toka kibosho au marangu. Uchaga unaundwa na hao wanne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio manua
 
Kama kuna kundi (group) la wachaga naombeni tafadhalini mniunge nataka nijikumbushe kichaga mara kwa mara.
 
Siku ukipata hii meseji rekebisha..
Hakunaga kichaga cha Marangu. Ni kichaga cha Vunjo ambapo huzungumzwa na kata za Kirua, Kilema, Marangu, Mamba na Mwika. Kkkt vunjo wame tafsirigi nyimbo za Tumwabudu bwana kwa Kivunjo na Sio Kimarangu ukipata kitabu kile ambacho hutumika sana kwa wa luther Marangu,Mamb na Mwika utaona wameandika Kivunjo
 
Wamarangu na Warombo ndoo wameharibu kichaga . Sasa hicho ni kichagga au kimasai au kikikuyu?
Hakunaga Kichaga cha Marangu..
Ni Kivunjo ambapo huzungumzwa na kata za Mwika, Mamba, Marangu, Kilema na Kirua. Huezi fananisha Marangu na Rombo ambapo ni Wilaya yenye nazo kata na utofauti wa lugha japo huingiliana kama ilivyo Wilaya ya Moshi yani Kivunjo, Ki Oldmoshi , Uru , Mbokomu na kibosho hawasemani sana hivyo hivyo wilaya ya Hai na same na mwanga......
 
Ndio maana nimesema Lugha ya" kimarangu" wametohoa kutoka maneno ya kimasai hao siii wachaggha. Wachaggha ni wa uru, wa machame na wakibosho ambao wote (1) maziwa = malela (2) maji = muda (3)pombe = wari
Ni hivi. Kuna wa chaga wa Moshi (Kibosho, Uru, Mbokomo,Old Moshi,na Vunjo ambayo ni Dola kubwa Kilimanjaro yan wa *Kirua,Kilema,Marangu,Mamba na Mwika) kuna chaga wa Sia, Hai na Rombo. Sasa kwa hao wa chaga wa Moshi kuna baadhi ya maeneno huingiliana kutokana na ukaribu. Mfano wa Vunjo na Old Mosh huingiliana kama ilivyo Uru na kibosho. ..........
 
Ndio maana nimesema Lugha ya" kimarangu" wametohoa kutoka maneno ya kimasai hao siii wachaggha. Wachaggha ni wa uru, wa machame na wakibosho ambao wote (1) maziwa = malela (2) maji = muda (3)pombe = wari
Wa Uru na wa Marangu hawatofautiani asee.
 
kamsafo
 
Shimbony mleu.
 
Kukaa kwangu uchagani kipindi nasoma msingi nimejifunza mengi. Kichaga hubadilika kulingana na jiografia. Mfano ukianzia tarakea, useri, mashati .Mkuu hadi hapo mamsera , kuna baadhi ya matamshi hubadilika ila mzizi wa neno hubaki lile lile
 
Ndio maana nimesema Lugha ya" kimarangu" wametohoa kutoka maneno ya kimasai hao siii wachaggha. Wachaggha ni wa uru, wa machame na wakibosho ambao wote (1) maziwa = malela (2) maji = muda (3)pombe = wari
Kimasai pia magunzi yanaitwa etongoti na kichaga ni hivyo hivyo. Mshenga kimasai anaitwa mkaraa na kichagga pia hivyo.

ephen_
 
Sema Kivunjo na Ki Uru. Wamarangu huongea Ki Vunjo
wewe ndo upo sahihi hakuna mmarangu wala kimarangu! Hakuna kitu kama hicho

Wachaga wa Rombo wanaojumuisha wenyeji wa Tarakea ( eneo hili Lina wahamiaji kutoka maeneo mbalimbali ya uchagani lakini tyr lipo Rombo hivyo tunawahesabia ni warombo

Wenyeji wa usseri, wenyeji wa mashati, mkuu na mamsera Hawa wote wanaunda jamii ya wachaga wa Rombo wanaozungumza kirombo.....

Kwetu Tarakea tunajua Kuna jamii ya wachaga wa vunjo, ambao tunawaita wa'anjoo! au wavunjo .......

Ikimaanisha wavunjo au va'anjo! Ni jamii ya wachaga wa mwika, marangu, mamba, kilema, na maeneo mengine mpka kufika kirua vunjo... Hao tunawajua kama wa'anjoo na sio mmarangu.... Hakuna mmarangu wala kimarangu.....

Marangu ni eneo lenye wachaga wa vunjo pamoja na shughuli zinazofanywa na jamii ya wavunjo!

Then tunajua Kuna wachaga wa Moshi...... au tunasema vashaka VA! Moshi au wandu wa moshi/mochi

Hawa wanakuwa ni wale watu wa old Moshi, uru, rau, kibosho yote tunawajua ni watu wa moshi! wanatokea kwenye origin ya Moshi yenyewe.......

Then Kuna wachaga jamii ya machame..... Na wachaga wa jamii ya wasiha!

Na maeneo hayo yote Yana common ukoo na Kuna Koo zipo karibu kwa jamii zote za wachaga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…