Kamusi ya kichaga cha Marangu kwenda kiswahili

Kamusi ya kichaga cha Marangu kwenda kiswahili

Kushoiya (kitendo) ni kufanya mambo yasiyo na msingi (kufanya ujinga/kupoteza muda)

Kwahiyo "kishoiya" (nomino) ni mtu mjinga/anaefanya ujinga.

ephen_
Kumbe kushoiya ni neno la kiswahili au kichaga ?

Maake kule home ukizubaa tuu.... Utasikia unashoiya, nn sjui eshoiya ...
 
we hata kirombo hukijui kivunjo kigumu aseeh 😂....... Nipo mwalimu wako hapa

Unanipikia machalari na mbege tuu tunaanza darasa
Ukiwa mwalimu wangu itapendeza😂
Mimi sijakulia.huko rombo ndo maana lugha inanipiga chenga 😂
Nifundishe 😹tukichape humu jf
 
we hata kirombo hukijui kivunjo kigumu aseeh 😂....... Nipo mwalimu wako hapa

Unanipikia machalari na mbege tuu tunaanza darasa
Ugumu unategemea wewe umetokea wapi. Kwakuwa wewe ni Mrombo lazima uone kivunjo/kimarangu kigumu, hiyo ina apply kwa wachagga wote, japo kuna maneno tunasikilizana na kuna maeneo ya jirani wanasikilizana zaidi japo lugha ina variation fulani.
 
Ukiwa mwalimu wangu itapendeza😂
Mimi sijakulia.huko rombo ndo maana lugha inanipiga chenga 😂
Nifundishe 😹tukichape humu jf
Hahaha usiwaze hapa hapa.....

Tunaanza na salamu

Habari yafo.... (Yafo=Yako)

Unajibu nangisha..... Nzuri

Unawari? Maana yake uko salama ?

Nginawari ! Maana yake Niko salama!

Mnaweza kuendelea labda

Habari tsa mfiri ....... (tsa = za, mfiri = siku)

unajibu nangisha tiki (tiki, = tu, )
Nangisha shakupa maana yake! Unaunganisha tu maneno hapo!

Ama habari ya kaa kwafo? (Kaa=nyumbani, kwafo= kwako)

Unamjibu, kaa kwa motu tunawari !

(Kwa motu= kwetu, tunawari=hatujambo)
 
I love this
But shida unakuja kwenye pronunciation duh!
 
Ugumu unategemea wewe umetokea wapi. Kwakuwa wewe ni Mrombo lazima uone kivunjo/kimarangu kigumu, hiyo ina apply kwa wachagga wote, japo kuna maneno tunasikilizana na kuna maeneo ya jirani wanasikilizana zaidi japo lugha ina variation fulani.
Ila mu old moshi, kibosho hata machame nawaelewa kwa urahisi zaidi
 
Kamusi hii imekosa uhalali kwa sabu
1. Haina taaluma ya kimatamshi{phonology}
2. Semantically upo sahihi lakn syntaxically haupo sahihi
 
Back
Top Bottom