Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kushoiya (kitendo) ni kufanya mambo yasiyo na msingi (kufanya ujinga/kupoteza muda)Naomba kujua maana ya neno "Kishoiya"
Uzi mzuri huu ngoja nijifunze baadhi ya maneno
we hata kirombo hukijui kivunjo kigumu aseeh 😂....... Nipo mwalimu wako hapaUzi mzuri huu ngoja nijifunze baadhi ya maneno
Kumbe kushoiya ni neno la kiswahili au kichaga ?Kushoiya (kitendo) ni kufanya mambo yasiyo na msingi (kufanya ujinga/kupoteza muda)
Kwahiyo "kishoiya" (nomino) ni mtu mjinga/anaefanya ujinga.
ephen_
Ukiwa mwalimu wangu itapendeza😂we hata kirombo hukijui kivunjo kigumu aseeh 😂....... Nipo mwalimu wako hapa
Unanipikia machalari na mbege tuu tunaanza darasa
Kichagga hicho, ukizubaa unaitwa "tondo/itondo" ikiwa na maana mjinga ila ukiwa unafanya mambo yasiyoeleweka ndio unakuwa unashoiya.Kumbe kushoiya ni neno la kiswahili au kichaga ?
Maake kule home ukizubaa tuu.... Utasikia unashoiya, nn sjui eshoiya ...
"Pita hivi" kwa kichagaKichagga hicho, ukizumbaa unaitwa "tondo/itondo" ikiwa na maana mjinga ila ukiwa unafanya mambo yasiyoeleweka ndio unakuwa unashoiya.
Ugumu unategemea wewe umetokea wapi. Kwakuwa wewe ni Mrombo lazima uone kivunjo/kimarangu kigumu, hiyo ina apply kwa wachagga wote, japo kuna maneno tunasikilizana na kuna maeneo ya jirani wanasikilizana zaidi japo lugha ina variation fulani.we hata kirombo hukijui kivunjo kigumu aseeh 😂....... Nipo mwalimu wako hapa
Unanipikia machalari na mbege tuu tunaanza darasa
Uka iha (toka hapa)"Pita hivi" kwa kichaga
Mboru tiki maana yake niniUka iha (toka hapa)
Enda kulya (Nenda kule)
Hahaha usiwaze hapa hapa.....Ukiwa mwalimu wangu itapendeza😂
Mimi sijakulia.huko rombo ndo maana lugha inanipiga chenga 😂
Nifundishe 😹tukichape humu jf
Ok itondo iyo sawaKichagga hicho, ukizubaa unaitwa "tondo/itondo" ikiwa na maana mjinga ila ukiwa unafanya mambo yasiyoeleweka ndio unakuwa unashoiya.
I love thisHahaha usiwaze hapa hapa.....
Tunaanza na salamu
Habari yafo.... (Yafo=Yako)
Unajibu nangisha..... Nzuri
Unawari? Maana yake uko salama ?
Nginawari ! Maana yake Niko salama!
Mnaweza kuendelea labda
Habari tsa mfiri ....... (tsa = za, mfiri = siku)
unajibu nangisha tiki (tiki, = tu, )
Nangisha shakupa maana yake! Unaunganisha tu maneno hapo!
Ama habari ya kaa kwafo? (Kaa=nyumbani, kwafo= kwako)
Unamjibu, kaa kwa motu tunawari !
(Kwa motu= kwetu, tunawari=hatujambo)
Ila mu old moshi, kibosho hata machame nawaelewa kwa urahisi zaidiUgumu unategemea wewe umetokea wapi. Kwakuwa wewe ni Mrombo lazima uone kivunjo/kimarangu kigumu, hiyo ina apply kwa wachagga wote, japo kuna maneno tunasikilizana na kuna maeneo ya jirani wanasikilizana zaidi japo lugha ina variation fulani.
Jaribu kutengeza lafudhi ya kichagaI love this
But shida unakuja kwenye pronunciation duh!
Uongo tu.Mboru tiki maana yake nini
Sitarudi kuchekesha watu kweli😂🙌Jaribu kutengeza lafudhi ya kichaga
Imagine...... Unaniita
Oyaah we kaakaa 😂,
Nataaaka unipeleeke palee mashima,
Kumbe!Uongo tu.
Napenda avatar yako, huyo mdada amepoa na low cut yake.Sitarudi kuchekesha watu kweli😂🙌