Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

Amekwenda ubalozini ni si kwamba amepanda ndege kwenda Cuba,tulizeni vichwa vyenu.
 
Mtandao wa wahuni
 
Bado hamjasema, si mlitaka ufafiti mb. Waaa nyie
Kwa hali ilivyo, na kwakuwa alianza na kupinga kabla yakufanya utafiti, hata akikuta bei ya ges ni sh 2000 hawezi kuwa mkweli.
Ataongea yale yanayowafurahisha waliomlipia hiyo safari.
Pole pole kaongea mengi sana ya humu humu Nchini, kwanini asiyafanyie utafiti haya ya humu humu ndani?
 
Chawachawani
 
Watanzania msikubali kutolewa kwenye mjadala muhimu na huyu kilaza. Hapa mjadala ni rais Samia anastaili kugombea urais ktk katiba ya CCM na uteuzi wake ulifuata sheria. Hapa mjadala mkuu sio mambo ya gesi.
 
Sasa mabalozi wanauza gesi hadi akahakiki ubalozini?

Tukisema shule za kimagharibi hazijasaidia weusi kupata ustaarabu na uwezo wa kuanalyze mambo tunaonekana tumetukana kaka na dada zetu
 
Kama hakuna case study inamaana unaandika vitu vya kufikirika. Hakuna proof popote pale kuwa vinawezekanika.
 
Wamechagua kushughulikia vitu vyepesi vyepesi. Akitoka huko akamtembelee na yoyote aliyetajwa kwenye press za jamaa
 
Na itakuwa kakuta kweli bei ni 2000/=, vinginevyo angekuwa kasharudi kumprove wrong Polepole.
 
Kama hakuna case study inamaana unaandika vitu vya kufikirika. Hakuna proof popote pale kuwa vinawezekanika.
Case Study maana yake nini ? Au unajua maana ya Case Study ?

Nimekueleza achana na kwenda nchi nyingine kabla ya wapuuzi kupandisha bei za umeme kwa muda wa miaka miwili zilipanda zaidi ya asilimia 200 watu walikuwa wanapikia nini ?

Nimekuuliza pia kwa sasa hivi huko kijijini ukilinganisha Gesi na Umeme kipi ni bei rahisi ? (Ukizingatia vijijini walikuwa wanapikia bure ) wengi wanatumia kuni za kuokota; sasa watu wamewakataza kutumia Kuni na wanawadanganya watumie gesi wakati ni bei kubwa...

Sasa hapo unahitaji Case Study ? Pili unawezeje ukafafanisha labda Ulaya wanaotumia Piped Natural Gesi (ambayo ni cheap kutoka China) na huku ambapo hatuna miundombinu ya Piped Gas ? In short kila kitu kianendana na mazingira na kwa mazingira ya Tanzania Umeme ndio the Cheapest Practical Source kwenye Cooking....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…