Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

A 20kg cooking gas cylinder in Cuba costs approximately $100 USD (around 35,000 pesos) on the informal market, as reported by the Havana Times in January 2025, though prices can vary. There is no reliable official price for cooking gas in USD, and prices are significantly higher than the average monthly salary, reflecting the ongoing energy crisis and shortages in the country.
 
Mjadala kuhusu gesi ya cuba lazima uanze na litereture review ...msomi unataka kuikimbia hoja?
Gesi ya Cuba haituhusu sisi Tanzania na hili nilisema tangia mwanzo kwa Polepole kuwa mwanasiasa na kuanza kuingiza issue ambazo hazina uzito ni ku dilute hoja na kufanya watu wahamishe magoli..., Gesi LPG ni cheapest Algeria ndio maana wao hata wanatumia gesi hii (LPG) kwenye magari..., Sisi hatupaswi kuzungumzia hili suala la Gesi (LPG) kabisa sababu hatuna hii gesi (Nguvu zote tujikite kwenye kuweka miundombinu ya vitu ambavyo tunayo (Na kimojawapo ni vyanzo lukuki vya Umeme); Sasa tukianza kuongelea CUBA nashindwa kuelewa....; kwahio hata kama ingekuwa ndogo kweli siku wakipandisha na sisi tupandishe ? Cuba kuna kipindi aliingia Mkataba na Venezuella wa kubadilishana madaktari na Mafuta (Cuba ana Madaktari wa kumwaga) Je na sisi tuanze kubadilishana waganga wa kienyeji ?!!!!

Narudia tena issue ya Cuba is neither here nor there....
 
Kweli kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ’―

Hawa waandishi wa habari wana deni kubwa sana kwa watanzania. Imagine gazeti la Rai na kampeni zake kwa wana mtandao miaka ile.
wametutumbukiza shimoni. Huyu naye amekuja kwa kuchelewa....you can't catch a moving train πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mwisho wa siku huyo chawa wa Mama atadai hata matibabu nchini Cuba hayatolewi bure. Na healthcare system yao pale sio ya kitoto. It’s one of the best healthcare systems in the world.
 
Jitihada kama hizi ungalichukua kwa watu wanaotekwa ungalifanya lamaana sana
 
Kaenda ubalozini kuulizia bei ya Gas sorry waafrika sio binadamu kamili

Hawa waandishi wametumika sana na wana mtandao katika kuwajenga. Kwa kutumia kalamu, walituhadaa sana tuamini kuwa mgombea wao, ndio dawa ya magonjwa yaliyoisumbua Tanzania.

Aisee....najutaaaaaaa....siwaamni kabisa. Mtu na kitambi kikubwa kama kile anaenda ubalozini kuulizia beo ya gesi? Anachojaribu kutuaminisha nini?

Bora kukosa mali kuliko kukosa akiliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Polepole yote aliyongea gas ndo wameona ndo kitu cha msingi waafrika wana laana
 
Super smart move...
Huyo kichwa pumbu polepole jana alikuwa anakishedua kitecno chake kuwa kinakokotoa hesabu za gesi, na alihakiki kuwa ni bei halali ya serikali ya Cuba...
Ngoja tuone sasa,...
Msianze kuhamisha magoli ooohhh sijui bei ya gesi haituhusu.....
 
Kamwaga ni mpuuzi wa kutupwa jalalani anatumwa na hayo majamaa ya mtabdao kusema ! Mbona hajaenda kuhoji jk na rostam kuhusu kifo cha dr john pombe magufuli ? Wengine hiyo mitungi hatutaki hata kuiona hata uipe pro vipi mimi nimeshaaga mashindano na taifa gas
 
Inawezekana katumwa na Rosta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…