Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

Polepole yote aliyongea gas ndo wameona ndo kitu cha msingi waafrika wana laana
Njia ya muongo ni fupi
Alibugi sana stepu kuingiza mambo ya uchumi wakati yeye ni kilaza aliesomea kivukoni chuo cha vilaza...
Alitakiwa abaki na upupu wake wa kifo cha jiwe kwa sababu hakuna anaeweza kuthibitisha uongo wake...

Sasa hapa kwenye uchumi ndio itaonyesha ukichwa pumbu wake, ila kwa kuwa nchi imejaa mambulula, muda si mrefu watahamisha magoli kuwa umeona gesi ndio kitu cha msingi, wakati wiki nzima bei ya gesi ya kyuba ilikuwa ndio bango linaloshikiliwa......
 
Cuba ni nchi ya kijamaa gesi wameiwekea ruzuku 10kg kwa march mwaka Jana ilikua 225CUP (Cubian peso) ambayo ni kama 23k+ tsh sasa Sina hakika kama imempanda au la na upatikanaji wa gesi ni mgumu hivyo Kuna black market ukinunua uko 20kg ni zaidi ya $100 kupanga ni kuchangua
 
Mpango wa kusambaza mabomba ya gesi majumbani ulikufia wapi??
 
Waandishi wa Tanzania ni njaa nyingi, polepole ameongea mambo mengi ya msingi alafu focus inakua kwenye issue ya bei ya mtungi? Si ajibu na mengine yaliyojadiliwa!!

Anataka kupata uteuzi kwa lazima
 
Kwahiyo ina maana aliropoka kabla ya kujiridhisha ubalozini. Kwanini hakwenda kabla ya kuropoka?
 
Polepole yote aliyongea gas ndo wameona ndo kitu cha msingi waafrika wana laana
La gas likiwa uwongo basi tutajua na la magu kupuliziwa sumu kiwandani morogoro na kufa yeye ni uwongo pia,kwa hiyo tutampuuza polepole
 
Gas yenyewe haipo cuba,black market bei inazidi mishahara
 
Ubalozi hawauzi gesi
 
Mpumbavu sana sasa maswala ya bei ya gas huko cuba yanatuhusu nini sisi mwenzake polepole alitumia kama reference tu akimaanisha bei hapa pia inapaswa kuwa chini kabisa sio lazima iwe alfu 2000 ila angalau ikiwa alfu 10 kila mtanzania atamudu gaharama ya nishati hii.
 
Kwenye maelezo yote ya Polepole kachukua la mtungi wa gesi tu!??.., si aende Msoga kwa JK amuhoji huku akijirekodi amuulize kama yeye na Rostam walishiriki kumtanguliza JPM, tuone kama atabaki salama😂
😃Thubutu yake,! Hivi ni yule mwenye kitambi kikubwa na kichwa kidogo au?
 
Kwanini asiende kuhakiki kuhusu wahuni kukiteka chama hajataka kulifuatilia hilo kaamua kufuatilia jambo lisilo na tija
Sasa hao wahuni kina rostam si ndio wamemtuma kumbuka kamwaga alishafanya kazi RAI gazeti la bosi wa gesi.. unganisha dots
 
Nikitoka hapa sasa ninaweza kuchakata taarifa nilizopata leo na zile za mtandaoni ili tuendeshe mjadala halisi. Kesho nitazungumza kuhusu hilo baada ya kuchakata taarifa nilizopata,” amesema Kamwaga.
Kwa nini asitoke ubalozini na kutoa taarifa ya bei moja kwa moja? Kwa nini aende kuchakachua (yeye anaita kuchakata) taarifa kwanza halafu ndo atuambie bei? It makes no sense 😕
 
Huyu kamwagelel ndio nimemsikia kupitia huu utumbo wa kinafikilism kwa kiwango cha lami,
Hoja zingine umezitafutia ukweli au ndio kutafuta uteuzi, nenda na ubalozi wa marekani ukaone cha mtema kuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…