Kamwe ajibu suala la Sheria kukiukwa kwa bango la Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Alikamwe akihojiwa kuhusu suala la ukiukwaji wa Sheria Baada ya kuweka bango la kichapo Cha 5 - 1 Baada ya Rage kusema wataenda mahakamani kudai Tsh. 100 million Kwa kosa la bango la Yanga

Haya ndiyo majibu ya semaji la final za CAF
"Nashangaa makolo wanalalamikia Kwamba tumetumia logo yao, mara ooh sijui Sheria itafanyaje ......nataka niwaambie kuwa pale vyote ni vyao logo na Ile 5 kubwa ....vyote ni vyao

Na bado hili suala la bango likiisha ....Kuna tukio lingine tutaleta mpaka pale watakapo kaa kimya

NB: huyu jamaa hizi ni sifa Sasa [emoji23]
 

Bado [emoji23][emoji23][emoji23]hajasema [emoji23][emoji23]mpaka aseme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…