Kamwe ajibu suala la Sheria kukiukwa kwa bango la Yanga

Kamwe ajibu suala la Sheria kukiukwa kwa bango la Yanga

Hapo tunaangalia madhara na sio nani yupo sahihi unaweza ukafanya maaamuzi sahihi kisheria ila kama mwenzako amepata madhara hyo inatosha kukutia hatiani.
Kuna UTANI WA JADI katika hizo timu na katika makabila yenu ,unalijua hilo? HAKUNA KESI HAPO
 
Nyie hamjui sheria na sheria ni pana sana na kwenye sheria kila mtu ana specialization yake ni kama kwenye udaktari vile yaani leo hii ukimchukua tundu lisu kwenye mambo ya mpira licha ya kujua sheria ila atatoka patupu wanasheria wanaohojiwa hawajui chochote kuhusu football kuna kitu kinaitwa psychological torture yaani hapo simba wakiamua yanga hatoboi kuna mtu nakumbuka alikuwa na kesi ya kusimamishwa kazi kisheria sehemu anayofanyia kazi licha ya kulipwa stahiki zake zote ila alifungua kesi na akashinda ya psychological torture sheria ni pana labda simba watumie busara tu ila wakiamua ngoma inakuwa ngumu hyo sio utani ni uzwazwa.
Kwahiyo hayo mabango yanawatesa makolo 😂
 
F-5UCEzXoAAfQel.jpeg
 
Hadi sasa sijaelewa Simba inapolalamika logo yao kutumika kinyume na ridhaa yao...

Hiyo logo inayotajwa ni ile nembo ya timu ya Simba kwenye matokeo ya 1 - 5 au kuna logo nyingineyo?

Kama ni hiyo, mbona Simba hawajawahi kuyaburuza magazeti mahakamani yanapochapisha habari yenye nembo ya timu, au televisheni zinapoweka logo yao kwenye matangazo?

Kwani Yanga wamepata maslahi gani walipoweka yale mabango yenye matokeo ya mechi? Au Simba imeharibiwa vipi brand yake kwa kuelezea matokeo ya mechi kwenye mabango?
 
Nyie hamjui sheria na sheria ni pana sana na kwenye sheria kila mtu ana specialization yake ni kama kwenye udaktari vile yaani leo hii ukimchukua tundu lisu kwenye mambo ya mpira licha ya kujua sheria ila atatoka patupu wanasheria wanaohojiwa hawajui chochote kuhusu football kuna kitu kinaitwa psychological torture yaani hapo simba wakiamua yanga hatoboi kuna mtu nakumbuka alikuwa na kesi ya kusimamishwa kazi kisheria sehemu anayofanyia kazi licha ya kulipwa stahiki zake zote ila alifungua kesi na akashinda ya psychological torture sheria ni pana labda simba watumie busara tu ila wakiamua ngoma inakuwa ngumu hyo sio utani ni uzwazwa.
Mkuu hayo ni matokeo ambayo hata simba amepost kwenye page zake za insta, twitter n.k ikiwa na logo ya yanga pia kinachotokea ni kuwa yanga ameamua aweke mtaani pia kwenye mbao za matangazo, kesho anaweza publish kwenye magazeti pia

Hizo picha zote azam ndio mmiliki halali kwakua ndio mpiga picha wa ligi.

Kama matokeo sio halali washitaki kwa kuchafuliwa
 
Asichokijua Range ni kuwa timu zote za ligi ni zenyewe nje ya uwanja lakini zikishafika uanjani, zenyewe pamoja na matokeo yake siyo mali ya klabu tena.
Hata mi najiuliza yale magazeti yaliyoonesha matokeo Simba 1 Yanga 5 nayo wanayaburuza mahakamani?. Sio hivyo tu huku X iliyokuwa twitter ndio hayo mabango yako mengi. Mbona watapiga hela sana
 
Sawa ni haki yao kufanya wanachokifanya Lakini sikuona sababu ya Yanga kufanya hiki wanachokifanya Maana hizi timu huwa zinapokezana vipigo . Ipo siku upande wa pili nao utajibu mapigo wataifunga yanga na simba watafanya kero ambazo zinaweza sababisha Yanga wajutie walichokianzisha wao.
Na ndyo utani nakukera ukipata cha kukera nikere tu
 
Alikamwe akihojiwa kuhusu suala la ukiukwaji wa Sheria Baada ya kuweka bango la kichapo Cha 5 - 1 Baada ya Rage kusema wataenda mahakamani kudai Tsh. 100 million Kwa kosa la bango la Yanga

Haya ndiyo majibu ya semaji la final za CAF
"Nashangaa makolo wanalalamikia Kwamba tumetumia logo yao, mara ooh sijui Sheria itafanyaje ......nataka niwaambie kuwa pale vyote ni vyao logo na Ile 5 kubwa ....vyote ni vyao

Na bado hili suala la bango likiisha ....Kuna tukio lingine tutaleta mpaka pale watakapo kaa kimya

NB: huyu jamaa hizi ni sifa Sasa [emoji23]View attachment 2814629
Makolo mpaka waseme

Ni kuwapiga matukio hadi waseme

Logo yao,5G yao
 
Sawa ni haki yao kufanya wanachokifanya Lakini sikuona sababu ya Yanga kufanya hiki wanachokifanya Maana hizi timu huwa zinapokezana vipigo . Ipo siku upande wa pili nao utajibu mapigo wataifunga yanga na simba watafanya kero ambazo zinaweza sababisha Yanga wajutie walichokianzisha wao.
Hatujawakataza kuwafunga Yanga
Wafungeni tu ili mtambe.

Ila Yanga amewakanda Makolo kipigo cha mbwa Koko lazima tufurahie.
 
The more watakavyo react .....ndivyo watazidi kuipaisha Yanga ..... kuhusu 5G

So it's better wakaacha lipite [emoji1]
Wapae kwenda wapi? Kama kuna nafasi ya kuchukua pesa hiyo pesa isiachwe, washangilie ushindi huku wanalipa. Unless wawe sawa kisheria ila kama si sawa Simba ikachukue tu hizo fedha za bure hakuna popote watakapopaa. Ni vile tu hata mimi sioni kosa kisheria sababu matokeo ya mpira yanachapishwa kila kona, lakini mm si mtaalam wa sheria hivyo kama lipo kosa na kuna uhakika tuchukue pesa hizo.
 
Back
Top Bottom