Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Duh!, subiria tuu, bado namtafuta Polepole, nikiisha mpata...Sina Kiwango cha Elimu na sikubahatika Kusoma kama Wewe ila mbona Wewe Mwenzetu pamoja na Kujipendekeza kwa JPM hata Huteuliwi nae?
Hivi nyie vijana wa bavicha hamfundishwi kujenga hoja? Mkajibu hoja kwa hoja? Halafu siku nyengine kabla ya kuleta uongo wako Kama huu fanya utafiti ona ulivyoumbuka Pole lakiniPamoja na Ukilaza wangu huu ila sihami hami Majengo ya Ofisi kwa Kushindwa Kulipa Kodi ya Kampuni yangu na Kujikomba hovyo tu kwa Wakuu.
Duh!, subiria tuu, bado namtafuta Polepole, nikiisha mpata...
Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge
P
Umetoka kwenye hoja nzuri umehamia kwenye Taarabu Kaka yngu...Pamoja na Ukilaza wangu huu ila sihami hami Majengo ya Ofisi kwa Kushindwa Kulipa Kodi ya Kampuni yangu na Kujikomba hovyo tu kwa Wakuu.
Duh!, subiria tuu, bado namtafuta Polepole, nikiisha mpata...
Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge
P
Ila CCM bhana
Hivi mmeishajiuliza nini hatima ya muungano ikiwa raisi mtarajiwa wa milele atotoka bara, kwani anatajia kuondoa ukomo wa vipindi vya uraisiKuna Mzee Mmoja ( Jina Kapuni ) japo alishawahi Kuniongoza Kikatiba huko nyuma taratibu sasa naanza kuona jinsi ambavyo huenda Ugonjwa wa Moyo utakavyoanza Kumuathiri na pengine hata Israeli anaweza Kuamua Kuondoka nae mapema tu kwenda katika Mapumziko yake ya Milele.
Sababu kubwa ni kwamba kama kuna Mzee ambaye si tu alikuwa anajikomba bali bado pia anajikomba kwa Joni huku akijiaminisha kabisa kuwa iwe isiwe Mwanae Mpendwa aliyeyazoea Maisha ya kuishi na Wanajeshi kwa miaka mingi atakuja nae Kuirithi Kazi yake huko kwa Waunguja na Wapemba ila kwa upepo unavyoenda sasa Mwanae huyo hiyo Kazi ataisikia tu katika Bomba.
Si tu kwamba Joni hataki Kuongozana na Hussein katika Safari yake ya kwenda Kisiwani Zanzibar ila anaogopa kuwa huenda huko mbeleni akaja Kumsumbua hasa ukizingatia Hussein kaanza kuwa katika Mfumo kabla yake na ana Mtandao mkubwa ulioratibiwa vyema na Baba yake alipokuwa Kazini hivyo anaona bora tu asafiri na Makame ambaye amemzoea na anammudu vilivyo kabisa.
Na kinachosikitisha na hata kutia Huruma kabisa ni kuwa tayari Hussein alishaanza Kuuvaa uhusika wa hiyo Kazi anayoenda Kuikosa na Kuijutia.
Hivi mmeishajiuliza nini hatima ya muungano ikiwa raisi mtarajiwa wa milele atotoka bara, kwani anatajia kuondoa ukomo wa vipindi vya uraisi
Ule ni uraisi au ukuu wa mkoaurais wa zanzibar ni mgumu.
Achana na huyo babu mtu mzima anayetafuta teuzi kama binti umri umemtupa mkono anajipendekeza lakini wapi sijui misukuma kama hii ilizaliwa nyumbani?Sina Kiwango cha Elimu na sikubahatika Kusoma kama Wewe ila mbona Wewe Mwenzetu pamoja na Kujipendekeza kwa JPM hata Huteuliwi nae?
Kosoa hoja siyo maandishiNeno Anatajia kama uliloliandika hapa ndiyo Kiswahili cha wapi hiki Ndugu? BAKITA na TUKI wanakitambua?
Achana na huyo babu mtu mzima anayetafuta teuzi kama binti umri umemtupa mkono anajipendekeza lakini wapi sijui misukuma kama hii ilizaliwa nyumbani?
Msukuma mshamba sana huyo mbaya zaidi umri umemtupa kabisa angekuwa binti angekuwa na watoto lukuki Hadi sasaNdugu acha niendelee tu Kulisanifu hapa huku lenyewe likidhani ni bonge la Genius hapa Jamvini wakati Watu wana Faili lote la Mauzauza yake!
CCM hawawezi mrejesha mpemba tena kutawala zanzibar wahafidhina wa unguja ndio kabisaaa hawatokubali asilani mpemba watawale kwa kufuatana.
Hata 2010 Dr. Shein kuingia ikulu ikiwa ni mpemba wa kwanza kuingia ikulu ya malindi wahafidhina hao wa kiunguja wana CCM kindakindaki waliandika kwenye mbao zao za Matangazo maskani kongwe ya CCM Kisonge unguja waliandika kwa maandishi makubwa wakisema "Hizbu wawili waingia ikulu" wakimaanisha wapemba Dr. Shein na Maalim Seif(makamu wa rais)
Shida ya Zanzibar ni upemba ma uunguja, huku waunguja wakijiona wao ndio wana milki ya Visiwa hivyo.
Pamoja na yote Dr. Hussein Mwinyi bado ni chaguo bora sana kumzidi Prof Mbarawa, Mbarawa ni kutoka jimbo la Mkanyageni pemba hajawahi hata siku moja kishinda nafasi ya Kuchaguliwa na Wananchi.
Alibwagwa na Eng. Habib Mnyaa wa CUF jimbo la Mkanyageni 2010.
Hii inaomuondolea confidence mbele za watu.
Dr. Hussein tayari ameshaanza kuandaliwa kunrithi Dr. Shein.
Dr. Hussein ni mtu muungwana sana asiye na makuu kama alivyo baba ake hakika "Embe halianguki mbali na mti wake".
Kila la heri Muungwana Dr. Hussein Mwinyi unastahili.
Achana nalo mbiga hilo eti liliomba ridhaa kuifungia Twitter yaani hili babu shamba sana aiseNdugu acha niendelee tu Kulisanifu hapa huku lenyewe likidhani ni bonge la Genius hapa Jamvini wakati Watu wana Faili lote la Mauzauza yake!
Hili swali hata wewe wajua jibu lake nakuachia wewe ulijibu.Binadamu huwa ana Uungwana wa Kiasili ( Kibinadamu ) na ule wa Kinafiki ( wa Kifursa ) je, Uungwana wa Hussein ni upi kati ya aina hizi Mbili?