Zanzibar 2020 Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana

Kosoa hoja siyo maandishi

Sasa kama Maandishi tu yamekosewa nitakuwaje na uhakika juu ya Hoja husika kama ina Mashiko au na yenyewe imekosewa kutokea Ubongoni?
 
Makame ni Chaguo sahihi kwa Zanzibar atavunja Usultani na hoja ya " Uunguja " atajenga Mahusiano mapya baina ya hivyo Visiwa viwili.

Hata Mimi natamani sana huyu ndiyo awe Rais wa huko Isles Ndugu, kwani anaonekana kuwa na Faida nyingi za Kiutendaji kuliko kwa Hussein.
 
Ila makame mbarawa ni mtu makini sana,anafit hata kuwa rais wa jamhuri ya muungano
 
Kwa kura CCM hamufui dafu ila kwa kuiba hakuna anae washinda. Kwa vile ni watu wasiokuwa na haya wala hawaoni vibaya, wataiba kura za wazanzibari wampe mtu karubandike ambae hatakiwi. Yote ni kuua zanzibar isiweze kuwa na maandeleo. Nchi yetu imeuliwa na CCM kiasi kwamba hamna hata cha kuringia ukasema hiki ni cha wazanzibari.
 
Sasa kama Taarab zangu zinakukwaza si uache tu Kuzisikiliza? au kuna Mtu amekushikia Jiwe Kubwa la FATUMA na Kukulazimisha uzisikilize?
Pole sna Nina Iman una hekima nzuri...
 
Baba na mwana... Chama na mtandao
 
Hiyo April Fool's day was just a coincidence, hizo hoja ni valid na bado namtafuta Polepole.
P

Si yupo pale lumumba mkuu..!? Au kwani ni lazima uende kwake? Mbona wengine hivyo vipeperushi wanavichukulia mashinani au ndio unataka kiki..!??

...lakini ujiandae kushikiwa akili na kuanza kuongozwa na remote!
 
Masauni anatufaa sisi wazanzibari!!wakituletea wenge tutawasha moto!hatutaki mchezo!!!
Masauni sio Mzanzibari,Msauni Hana tafauti na akina Mwinyi,Aboud Jumbe na Sheni...

Tunataka MZANZIBARI awe Raisi wa Zanzibar sio vibaraka wa Tanganyika
 
CCM ya sasa haina mazoea... Atakuja mtu hajapatwa kuandikwa popote kwa jina lake...
 
Duh!
 
Mkuu Paskali,
Kuna watu hawamkumbuki Joni akiwa askari wa mwamvuli enzi za BWM. Either hawakuwepo kwenye ulimwengu wa siasa hivyo hawajui na wamekuwa wavivu kusoma historia au kuuliza kwa "waliokuwepo" walau kuwadodosa.

So, far Joni bana, ni mtu mwingine. Sijawahi sikia balozi/kaimu balozi wa taifa kubwa anaitwa kujieleza katoa wapi taarifa za "ugaidi" au hali ya afya kwenye nchi hii.
Uthubutu wa kukataa kuzungumza na ACACIA na kuitaka kampuni mama Barrick kuja kujieleza; ikabidi Prof. Joni L. Thornton akwee pipa na kumwomba balozi wa Canada amshike mkono ili aweze kuonana na Joni magogoni; ni ajabu kusema Joni ni mwoga.

Joni kasimama pekee na kuonesha mwelekeo kama kiongozi namna ya ku-handle issue ya Covid19; Wengine wakiwa wamehamaki, wanapigiana simu kwa zoom. Joni kwa ujasiri aliamua kuongoza vile anaona kuwa inafaa.

Huyu mtoa hoja, nadhani amekurupuka.
 

Nakukubali sana mkuu
 
Kwa maana hiyo wewe uko sawa na unataka uaminike kwa kila unachoamini kipokelewe kuwa kweli na wengine mitazamo yao ni uongo! Who are you!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…