Kamwe Mwanaume hupaswi kujikombakomba

Kamwe Mwanaume hupaswi kujikombakomba

KAMWE MWANAUME HUPASWI KUJIKOMBA KOMBA KAMA LOFA!

Anaandika, Robert Heriel

Vijana nisikieni! Nisikilizeni Kwa makini. Msisikie kelele za wapuuzi wanaotaka kuwapora hadhi zenu. Najua wengi wenu Kwa sasa labda mnalelewa upande wa kiukeni. Lakini kamwe hiyo isiwe sababu ya ninyi kuwa kama Wanawake.

Ipo agenda ya kijinga iliyoanza miongo kadhaa ya kuwafanya wanaume wawe submissive Kwa Wanawake.
Msikubali!

Hata awe nani atakayekuambia umnyenyekee mwanamke au kujikomba komba kwake usikubali.

Simamia nafasi yako kama Mwanaume.

Mwanamke asikuendeshe, asicheze na akili yako Bali wewe ndio ucheze na akili yake.

Kama Mwanamke hakutaki achana naye. Usibembeleze ujinga. Jitu kama halikutaki au mpaka lisubiri ulibembeleze achana nalo.

Unamtumia ujumbe hajibu piga chini. Usiogope.

Umepiga simu hapokei au anakuletea maringo ya kitoto wakati jitu limeshazeeka piga chini. Labda awe under 20yrs lakini mtu kazeeka alafu akuzingua ukubali utakuwa hujielewi.

Wewe ndiye mwanaume, wewe ndiye Mtawala. Usipangiwe , Bali wewe ndiye unayepaswa kumpangia.

Busara yeyote utakayoitumia inayoangusha na kudhuru Uanaume wako huko ni kutokujiamini.

Zingatia kuwa Mwanaume hajawahi kukomolewa tangu dunia ianze. mwanaume hakomolewi!

Mwanamke yeyote atakayetaka ligi au kulipiza kisasi fukuza, usiwe na huruma na kamwe usimsamehe.

Mwanaume ni Kuhani katika nyumba yako. Neno lako ndilo neno la mwisho. Hakuna cha mchungaji wala Sheikhe anayetakiwa kulipindua.

Mwanamke wako Ajue kuwa wewe huogopi Wachungaji wala masheikhe kwani wewe unaijua dini zaidi Yao na unamisimamo yako binafsi isiyoingiliwa na yeyote.

Vijana usipokuwa mwanaume na ukaupuuza Uanaume wako basi sio tuu mapenzi yatakayokushinda Bali mpaka maisha yatakushinda.

Uanaume ni zawadi kubwa ambayo kila kiumbe kilitamani kiwe jinsia ya kiume.
Uanaume ndio uungu wenyewe, ndizo nguvu zenyewe na mamlaka.

Usijidharau, Usijikombe kombe kisa ujingaujinga. Fanya kazi Kwa jasho lako na akili yako yote.
Pata Mali kadiri uwezavyo, pata wanawake kadiri utakavyoona.

Usipangiwe idadi ya wanawake utakaokuwa nao. Watakaokataa waambie waondoke,
Zaa upendavyo, sio kosa.

Mfalme neno lake ndilo sheria, hivyo ndivyo unavyotakiwa uishi. Kile utakavyo ndicho ukifanye bila ya kuendeshwa na maneno ya Wanawake.

Hivyo ndivyo utakavyoishi miaka Mingi katika Enzi yako.

Vijana kamwe usijikombe, wala kujinyenyekeza kisa ujingaujinga. huko ni kujidhalilisha.

Ni Mimi Kaka yenu.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Wanawake watakusomea albadir ohoo
 
Si kwa mariooo hawa waliojazana mjini[emoji16][emoji16][emoji16]

Full kufua chupi za ke na kuomba omba hela

Huu uzi wako unafaa kwa kizazi cha 80s kushuka chini
 
Si kwa mariooo hawa waliojazana mjini[emoji16][emoji16][emoji16]

Full kufua chupi za ke na kuomba omba hela

Huu uzi wako unafaa kwa kizazi cha 80s kushuka chini
Labda kwa wanaume wavivu na wabwetekaji! Ila kwasisi tunaotafuta kwa jasho... Uzi huu tunaunga mkono hoja kwa 100%

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ule utaratibu wa mwanaume kupiga magoti wakati anamvalisha pete mwanamke asili yake ni wapi? Na ulianzaje?

Asili yake ni Kwa wanaume washamba waliowajulia wanawake ukubwani.

Unapiga magoti Kwa mwanamke kama hiyo haitoshi mwanamke mwenyewe sasa hata hakuna bikra😀. Hivi hizo ni Akili atu kuchanganyikiwa
 
Asili yake ni Kwa wanaume washamba waliowajulia wanawake ukubwani.

Unapiga magoti Kwa mwanamke kama hiyo haitoshi mwanamke mwenyewe sasa hata hakuna bikra[emoji3]. Hivi hizo ni Akili atu kuchanganyikiwa
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kuzaliwa mwanaume ni tunu.....watoto wadogo hawajui hili mpaka wakivuka miaka 40.......na hata wasichana hawajui mpaka wakivuka miaka 35........

Umeongea ukweli Kabisa.

Nimemsikia Baba Ommydimpozi alivyomjibu mwanaye.
Kamjibu kibingwa, ameongea kama Mwanaume na BABA.

Anakuambia hata hao watoto wake 17 wamtose yeye kamwe hawezi bembeleza watoto😂😂
 
Back
Top Bottom