Kamwe Mwanaume hupaswi kujikombakomba

Kamwe Mwanaume hupaswi kujikombakomba

Nimekuelewa mkuu. Lakini naona mada hii ungepanua wigo kidogo, ulipoongelea kujikomba. Tusijikombe kwa wanawake tu, bali hata kwa wanaume wenzetu, hata tukihitaji msaada toka kwao. Wapo baadhi ya wanaume wakibaini mwenzao anahitaji msaada, basi ana-take advantage, anataka anyenyekewe. Tusiwe hivyo wanaume. Wanaume tunatembea sehemu nyingi katika utafutaji wa maisha, unamnyanyasa mwenzako leo hujui kesho utamkuta wapi (rejea issue ya Paskali).
inasemaje hiyo issue ya paskali
 
Umeongea ukweli Kabisa.

Nimemsikia Baba Ommydimpozi alivyomjibu mwanaye.
Kamjibu kibingwa, ameongea kama Mwanaume na BABA.

Anakuambia hata hao watoto wake 17 wamtose yeye kamwe hawezi bembeleza watoto[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Navuta pumzi, nitakuja kulitikisa jukwaa haswa.
 
Always be a man and stand back your ground,wanawake ni muhimu kwa mwanaume lakini usiwaweke mbele zaidi,fanya kazi kwa bidii tafuta pesa na si kwa ajili ya wanawake ni kwa ajili ya maisha yako.
 
Mkuuu taikuni ww ni jembe,endelea kutuelimisha mkuu.
 
Back
Top Bottom