NiggahStopper2
Member
- Oct 24, 2021
- 72
- 63
Hizi ndio kauli za kishujaa ,ambazo huwa nataka kuzisikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inasemaje hiyo issue ya paskaliNimekuelewa mkuu. Lakini naona mada hii ungepanua wigo kidogo, ulipoongelea kujikomba. Tusijikombe kwa wanawake tu, bali hata kwa wanaume wenzetu, hata tukihitaji msaada toka kwao. Wapo baadhi ya wanaume wakibaini mwenzao anahitaji msaada, basi ana-take advantage, anataka anyenyekewe. Tusiwe hivyo wanaume. Wanaume tunatembea sehemu nyingi katika utafutaji wa maisha, unamnyanyasa mwenzako leo hujui kesho utamkuta wapi (rejea issue ya Paskali).
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeongea ukweli Kabisa.
Nimemsikia Baba Ommydimpozi alivyomjibu mwanaye.
Kamjibu kibingwa, ameongea kama Mwanaume na BABA.
Anakuambia hata hao watoto wake 17 wamtose yeye kamwe hawezi bembeleza watoto[emoji23][emoji23]
Hizi ndio kauli za kishujaa ,ambazo huwa nataka kuzisikia