Kamwe Mwanaume hupaswi kujikombakomba

Wanawake watakusomea albadir ohoo
 
Si kwa mariooo hawa waliojazana mjini[emoji16][emoji16][emoji16]

Full kufua chupi za ke na kuomba omba hela

Huu uzi wako unafaa kwa kizazi cha 80s kushuka chini
 
Si kwa mariooo hawa waliojazana mjini[emoji16][emoji16][emoji16]

Full kufua chupi za ke na kuomba omba hela

Huu uzi wako unafaa kwa kizazi cha 80s kushuka chini
Labda kwa wanaume wavivu na wabwetekaji! Ila kwasisi tunaotafuta kwa jasho... Uzi huu tunaunga mkono hoja kwa 100%

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ule utaratibu wa mwanaume kupiga magoti wakati anamvalisha pete mwanamke asili yake ni wapi? Na ulianzaje?

Asili yake ni Kwa wanaume washamba waliowajulia wanawake ukubwani.

Unapiga magoti Kwa mwanamke kama hiyo haitoshi mwanamke mwenyewe sasa hata hakuna bikra😀. Hivi hizo ni Akili atu kuchanganyikiwa
 
Asili yake ni Kwa wanaume washamba waliowajulia wanawake ukubwani.

Unapiga magoti Kwa mwanamke kama hiyo haitoshi mwanamke mwenyewe sasa hata hakuna bikra[emoji3]. Hivi hizo ni Akili atu kuchanganyikiwa
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kuzaliwa mwanaume ni tunu.....watoto wadogo hawajui hili mpaka wakivuka miaka 40.......na hata wasichana hawajui mpaka wakivuka miaka 35........

Umeongea ukweli Kabisa.

Nimemsikia Baba Ommydimpozi alivyomjibu mwanaye.
Kamjibu kibingwa, ameongea kama Mwanaume na BABA.

Anakuambia hata hao watoto wake 17 wamtose yeye kamwe hawezi bembeleza watoto😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…