Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mimi sitii neno wataniuaAcha wafundishwe soka na wydadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sitii neno wataniuaAcha wafundishwe soka na wydadi
Eti aliomba apigwe ban Simba ikimfunga Yanga au wewe hujui😂😂😂alikula ban ..... kwnn
Hawa mazuzu huwa yanatoa ahadi za kijinga haswa.Mwingine aliweka mke wakamchukua akabaki kulia.Lingine likadai litapika na kuosha vyombo.Eti aliomba apigwe ban Simba ikimfunga Yanga au wewe hujui😂😂😂
Kwani lazima uteseke jamani? Hebu relaaaaaaxxxx!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.
Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa Simba FC wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?
Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.
• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).
• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).
• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.
[emoji115] CHUNGU LAKINI NI DAWA (UKWELI).
Ndiwooooooooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlikua mnataaamba kwamba mtamfunga mnyama mmekandwa ndo mnakuja kuona kuwa haina maana???.hahhaha
Sisi furaha yetu ni kukandwa kwenu ...mmmekandwaaaaaaa
Ubingwa chukueni ila kukandwa mmekandwa 2 kwa Nunge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2592006
Mmanuko FC
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine heshima inaharibiwa na kibu denis ambae huwa anaanguka anguka tu. What a shame.