Kamwe: Ushindi wa Simba ni sawa na ushindi wa mke wa Hakimi

Kamwe: Ushindi wa Simba ni sawa na ushindi wa mke wa Hakimi

Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.

Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa Simba FC wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?

Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.

• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).

• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).

• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.

[emoji115] CHUNGU LAKINI NI DAWA (UKWELI).
Kwani lazima uteseke jamani? Hebu relaaaaaaxxxx!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mlikua mnataaamba kwamba mtamfunga mnyama mmekandwa ndo mnakuja kuona kuwa haina maana???.hahhaha
Sisi furaha yetu ni kukandwa kwenu ...mmmekandwaaaaaaa
Ubingwa chukueni ila kukandwa mmekandwa 2 kwa Nunge
Ndiwooooooooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa mazuzu huwa yanatoa ahadi za kijinga haswa.Mwingine aliweka mke wakamchukua akabaki kulia.Lingine likadai litapika na kuosha vyombo.
Wanajiamini na timu zao mkuu
 
Back
Top Bottom