Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

Mimi tukiachana memory zote nafta staki kukumbuka lolote hata tukikutana sishtuki, memories zote nzuri au mbaya na zi delete wallah
Mungu alimpa mwanaume jukumu lakupenda sababu anajua alimuwekea uwezo wa kupenda. Hivyo usijiangaishe kufahamu kwanini unaweza kufanya hayo
 
Pole sana mkuu nailewa hali yako kwenye maisha yangu sijawahi kuomba ushauri kwa wazee lakini ilibidi nifanye hivyo muda ni tiba lakini tambua na elewa thamani ya mwanaume ni umiliki pambana kutambua lengo lako hapa duniani kisha fanya kwa bidii zote kadri utanavyo fanikiwa ndivyo unavyokuwa na furaha utapata mwanamke yeyote unayemtaka
 
Pole sana chief,same situation hapa ila lazima usonge mbele. Tafuta pesa kwa nguvu zote kwa ajili ya mwanao.
 
Ishu sio mtu kupelekewa moto Ila ni hisia tu ambazo zinamfanya mtu amiss uwepo wake,company,vituko na nyakati zote za furaha. Uzuri/Ubaya wa maisha ni kwamba kuna nyakati nzuri/mbaya pia furaha/huzuni lazima tuzipitie.
Sawa,lkn Kwichikwichi nzuri inachukua nafasi kubwa ktk mahusiano.
 
Bora umekuwa muwazi mama, nimelipenda hilo maana mapenzi ni hisia sio pesa ama utajiri kama kizazi cha sasa kinavyojipambanua.
Tatizo dada zetu sikuizi wanataka kuishi maisha yalio mbali Sana na uhalisia wao wa maisha, afu uwezo wakufanya hivyo hawana,the only shortcut to use,Ni kujirahisisha kwa wanaume wenye Mali,hata kama hawawapendi,na hizi smartphone ndo zimeharibu kabisa kizazi chetu(Mostly in Africa).
 
Kwa nini mnapenda kuyatukana mapumbuu? Mnajua thamani yake ni kubwa sana!
 
Hit and run 🏃
Ukitumia hii principal uwezi kulia Lia
Afu demu huwa wanatupenda Sana vitombi
Afu sinaga time nao
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mara moja moja kujipeleka sio mbaya ila sio kila siku
 
Hkn cha kushikika ke sisi ni wachawi sana ni usipime.huwezi mpenda mnuka kikwapa eti mpakaujiue mfyuu!

Nani kasema! wewe ukiona vipi mkule dadako uone hata binamu tu. Hautachanganyikiwa.sababu hawakufanyii dawa.

Kula jitu ke baki utalililia weee! Kisa kupenda.mfyuuuxc! Hata halina thamani km yako.

Unajikuna matako weeee! Kisa rose joshua zeee kwanza.Halina mvuto km dume!

Ukitaka nakupa dawa na unayo unatembea nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…