Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Asante chief, nishaga poa hiyo Ni story ya mwaka 2006,ingawa hajawahi kunitoka moyoni mpaka leo.Pole sana chief
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante chief, nishaga poa hiyo Ni story ya mwaka 2006,ingawa hajawahi kunitoka moyoni mpaka leo.Pole sana chief
Mungu alimpa mwanaume jukumu lakupenda sababu anajua alimuwekea uwezo wa kupenda. Hivyo usijiangaishe kufahamu kwanini unaweza kufanya hayoMimi tukiachana memory zote nafta staki kukumbuka lolote hata tukikutana sishtuki, memories zote nzuri au mbaya na zi delete wallah
Pole sana mkuu nailewa hali yako kwenye maisha yangu sijawahi kuomba ushauri kwa wazee lakini ilibidi nifanye hivyo muda ni tiba lakini tambua na elewa thamani ya mwanaume ni umiliki pambana kutambua lengo lako hapa duniani kisha fanya kwa bidii zote kadri utanavyo fanikiwa ndivyo unavyokuwa na furaha utapata mwanamke yeyote unayemtakaI second u, naumia zaidi sababu tuna mtt na nampenda kuliko kitu chochote na amekuwa so emotional baada ya kugundua baba yake sipo sawa, ukweli ni kwamba ameshindwa kubalance btn new love na mtt amemuweka pembeni am not oky with that as mtt anapata mateso ambayo hastahili,
I know hajafata chochote huku zaidi ya mapenz ambayo mm may be nimeshindwa kuonesha ila namuonea huruma kiumbe huyu wangu wa pekee as i have to move on with my life as am broke na nimeharibu mpaka kazi yangu
Pole sana chief,same situation hapa ila lazima usonge mbele. Tafuta pesa kwa nguvu zote kwa ajili ya mwanao.I second u, naumia zaidi sababu tuna mtt na nampenda kuliko kitu chochote na amekuwa so emotional baada ya kugundua baba yake sipo sawa, ukweli ni kwamba ameshindwa kubalance btn new love na mtt amemuweka pembeni am not oky with that as mtt anapata mateso ambayo hastahili,
I know hajafata chochote huku zaidi ya mapenz ambayo mm may be nimeshindwa kuonesha ila namuonea huruma kiumbe huyu wangu wa pekee as i have to move on with my life as am broke na nimeharibu mpaka kazi yangu
comrade kumbe na wewe ni muhanga wa haya mavitu.Hahahah hio ilinikutaga first heartbreak. Kwa sasa dah hapana sitaki hata kukumbuka.
Hapa Sasa umesha fuzu Darasa la Mapenzi,hayatokubabsisha tena hadi unazeeka!!Yeah, nakubali.Tangu niumizwe na yule mwanamke, sidhani kama kuna yeyote atakaekuja kunibabaisha.
Sawa,lkn Kwichikwichi nzuri inachukua nafasi kubwa ktk mahusiano.Ishu sio mtu kupelekewa moto Ila ni hisia tu ambazo zinamfanya mtu amiss uwepo wake,company,vituko na nyakati zote za furaha. Uzuri/Ubaya wa maisha ni kwamba kuna nyakati nzuri/mbaya pia furaha/huzuni lazima tuzipitie.
Eh baba mie janja la zamani, hamna rangi sijaacha onacomrade kumbe na wewe ni muhanga wa haya mavitu.
Bora umekuwa muwazi mama, nimelipenda hilo maana mapenzi ni hisia sio pesa ama utajiri kama kizazi cha sasa kinavyojipambanua.Yeah why not, kikubwa niwe nimempenda kweli
kama bado uko shule ujue una safari ndefu mbele kijana, hata limbwata hujalionja.Ivi ni Ni mimi tu ambae bado sija wahi kuumizwa na mapenzi
MmhYeah why not, kikubwa niwe nimempenda kweli
Yani ukipitia kipindi kigumu kwenye mapenzi na ukafanikiwa kukivuka, inafikia hatuta ha mwanamke akijibebisha kwako moyoni "una mwona Kama jambazi tu" alie na lengo la kukuingiza kingi😃Hapa Sasa umesha fuzu Darasa la Mapenzi,hayatokubabsisha tena hadi unazeeka!!
Tatizo dada zetu sikuizi wanataka kuishi maisha yalio mbali Sana na uhalisia wao wa maisha, afu uwezo wakufanya hivyo hawana,the only shortcut to use,Ni kujirahisisha kwa wanaume wenye Mali,hata kama hawawapendi,na hizi smartphone ndo zimeharibu kabisa kizazi chetu(Mostly in Africa).Bora umekuwa muwazi mama, nimelipenda hilo maana mapenzi ni hisia sio pesa ama utajiri kama kizazi cha sasa kinavyojipambanua.
Kwa nini mnapenda kuyatukana mapumbuu? Mnajua thamani yake ni kubwa sana!Hata sio kweli, unaweza ukawa na mwanaume unampenda kwa dhati, na wala huna hata hisia za kumsaliti ila yeye akaanza kukufanyia vituko kumbe kaishakuchoka anakutafutia sababu, sasa kwa kuwa sisi ni watu wa hisia sana tunakuwa tumeshajua ukweli inabidi ujiondoe kimyakimya tu kuepusha malumbano.
Na hasa hasa hii hutokea pale mwanaume anapopata vijisenti mbuzi, anaona hee huyu wa kazi gani hanifai ngoja nitafute mpya, kasheshe ni pale vihela vilikiliwa na huyo mpya zikaisha halafu eti linarudi kwangu na mapumbuu tu, ndo siku hiyo utatamani ardhi ipasuke kitu nakufanyia siku hiyo[emoji57][emoji57]
Wanayadharau saba mapumbu Hawa watu[emoji23]Kwa nini mnapenda kuyatukana mapumbuu? Mnajua thamani yake ni kubwa sana!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mara moja moja kujipeleka sio mbaya ila sio kila sikuNawewe kama mtu wako unampenda inakuwaje mpaka ukumbushwe?mbona kuomba hela husubiri jamaa akukumbuke mwenyewe unaomba?ukijua una mpenzi jua una jukumu la kutoa hiyo huduma maana ndio jukumu lako mama usisubiri ukumbushwe wakat unapewa pesa uwe irritated,weka utaratibu wa kujipeleka mwenyewe weekend ukaliwe
Hkn cha kushikika ke sisi ni wachawi sana ni usipime.huwezi mpenda mnuka kikwapa eti mpakaujiue mfyuu!Hivi mbona tunaolalamika Sana kuachwa ni sisi me..?
Wanawake tumewakosea nini..?
Na hii hali itaisha lini..?
Mtafanya nimuamini moja ya mwanasaikolojia alienena kuwa wanaume tupo sensitive Sana na mapenzi japo tunajifanyaga makauzu ila hapo tumeshikika!
Duh! What a worse moment bro...Achaaa kabisa Hebu fikiria mwanamke wako hata kuongozana na wewe njia moja hatakiii.