Kamwe usilipize kisasi kwa mtu awaye yote

mimi huwa nasamehe, ila kisasi kijiletaga automatically mtu anajaa mwenyewe 😅
ukipania kisasi hukipati
 
hata biblia imekataza kulipa kisasi
 
Nilishalipa kisasi mwisho nikapata amani ya moyo kabisa mpaka leo ni miaka mingi ishapita nipo amani kabsa
 
Mleta mada Amenukuu lile Andiko Akupigae shavu la kulia we Mgeuzie la kushoto.Wakiristo bwana,Imani yao imekuwa legevu legevu sana.
 
Ni vizuri kuwasemehe watu waliokukosea ila Kuna Mambo hayasameheki kbsa.
Mfano Ni mke mzinifu,hii hata vitabu vya dini vinakataza kwamba kamwe mke anayetoka nje ya ndoa hastahili kusamehewa.

Afu pia Kuna waumini wa " Jino kwa Jino" Israel
 
Ubaya kwa Ubaya
Katika maisha epuka sana kushindana na mtu asiye na cha kupoteza, gharama ya matendo yake juu yako inaweza kuwa kubwa sana. Kuna Watu wapo wapo tu.

Hawana utu.
Hawana hofu ya Mungu.
Hawana hofu ya jamii.
Hawana familia wanazozisimamia wala kuzijengea misingi.Yaani wao kufanya jambo lolote ovu kwao ndiyo ushujaa.

Ukikutana na mtu wa hivi sijui kama utaendelea kusimamia hiyo dhana yako ya ubaya kwa ubaya🤣🤣
 
Ni vizuri kuwasemehe watu waliokukosea ila Kuna Mambo hayasameheki kbsa.
Mfano Ni mke mzinifu,hii hata vitabu vya dini vinakataza kwamba kamwe mke anayetoka nje ya ndoa hastahili kusamehewa.

Afu pia Kuna waumini wa " Jino kwa Jino" Israel
Unasamehe yes na kumuacha aende Zake, tatizo ni pale utakapoamua kulipa kisasi kwamba na wewe uwe mzinzi ili umkomoe.Na tunaona wengine wanafikia hatua ya kuwaua wenzi wao sababu ya mambo kama hayo.

Temana nae tu na kamwe ujinga wa mtu usikufanye nawe ukawa mjinga waheed.
 
Ni heri mwanadamu akulipize kisasi ila sio Mungu, Mungu akikunyoosha anakunyoosha haswa.
 
Hii ni kwa mujibu ya mavi yako kichwani.

😆😆😆
Kwani mavi yanakaaga kichwani kwa mtu?
Wewe itakuwa ni bonge la kiraza.
Hujasoma bailoji?
Pole sana inaonekana umejivuruga balaa 😆😆
Na haya matusi yako unayoandika humu wala hayatakupa ahueni napadała yake unazidi kujiongezea msongo wa mawazo.
Kuna namna za ku-vent out na sio kwa huku unakofanya.
I am innocent person, hayo unayopitia sijasababisha mimi.
Pole hebu jihurumie nafsi yako (self care) find a way to vent out yourself.
Unajiresha bure maana werevu wanajua jinsi unavyo reflect kile kilichoujaza moyo wako.
 


Kweli kabisa,
Yaani mtu mwingine akosee yeye Halafu kukosea kwake yeye Eti kuje kusababisha mimo kukosea na kuingia kwenye matatizo(jera) au (dhambi) ambayo itaharibu uhusiano wangu na Mungu bana yangu?!
Nakataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…