Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
- Thread starter
-
- #281
Kwa sababu Hata mnunuzi ni mtumba kwahiyo hakuna kinachoharibikaSijasema mwanamke ni mtumba labda kama ujanielewa, ila nimesema uwezi nunua mtumba usio na ubora kwa gharama kubwa
Kipo biblia imevuia, anaetoa bikra ndio inatakiwa atoe mahariKwa sababu Hata mnunuzi ni mtumba kwahiyo hakuna kinachoharibika
Hii nayo point kubwa Sana yani?Hakuna anaetaka kuoa bure, tatzo nikuuziwa mtumba usio na ubora kwa gharama kubwa.
Yan kama ss wakristu tunateseka sana bas tu.Hii nayo point kubwa Sana yani?
Na Kama ulimtoa binti wa watu basi huyo ndiyo mkeoKipo biblia imevuia, anaetoa bikra ndio inatakiwa atoe mahari
Tafuteni hela[emoji23][emoji23]Yan kama ss wakristu tunateseka sana bas tu.
Wenzetu waislam uwezi wasikia wanalalamika juu ya mahari maana anaeolewa (mlengwa) ndio mpanga mahari anayotaka kutolewa, ila kwetu sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivyo ndivyo imeelekezwa tena had na malipo yake yapo kabisa kibibliaNa Kama ulimtoa binti wa watu basi huyo ndiyo mkeo
Hujataja kabila lako
Na nyie kulalamika hamtolewi mahali ni umasikini na tamaa ya ndoa hioTafuteni hela[emoji23][emoji23]
Kulalamika ni dalili ya umasikini
Kutolewa mahari ni lazima [emoji23][emoji23][emoji23]Na nyie kulalamika hamtolewi mahali ni umasikini na tamaa ya ndoa hio
ImeharibikaKabila la nini we mruhusu aje huko pm
Sasa kuna mahari na mtaji wa familia (kukomoa)Kutolewa mahari ni lazima [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu cha bure,,mahari yenyewe ya mablanket na mashati wala haifikii japo theluthi ya gharama na muda waliotumia kunilea wazazi.
Mkitaka kutuoa mahari ni lazima [emoji23][emoji108]
Sasa nyie mnatembea na mabinti kibaoHivyo ndivyo imeelekezwa tena had na malipo yake yapo kabisa kibiblia
Kwamba blanket na sahani ndivyo vitakuwa mtaji kwa wazazi wetu??Sasa kuna mahari na mtaji wa familia (kukomoa)
Hiv unajua kuwa wanaume wengi (sio wote lakin) huwa tupo serious kwenye mahusiano tatizo tunayo yakuta huko ndio yanatufanya tuonekane tunawachezeaSasa nyie mnatembea na mabinti kibao
Mwisho wa siku mnataka bikra.
Ulivyokuwa unachakaza wa wenzio na wewe wako alikuwa anavhakazwa.
Chanzo cha matatizo haya ni wanaume na mahari wanatoa tu!
Hakuna namna.
Hiv ingekuwa sawa na unavyosema si kila mtu angekuwa ameoa na kutoa mahariKwamba blanket na sahani ndivyo vitakuwa mtaji kwa wazazi wetu??
Acha mawazo ya kimasikini hayo.
Naomba nikuulize swali bibie, kisha nitasema jambo.Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.
Tena wengine mnajifanya kupenda sana, unalazimisha kuolewa na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Wengine mnaenda mbali zaidi na kuwasaidia kulipa hizo mahari.
Ukiona umemsaidia kulipa mahari usishangae na huko ndani akakuachia majukumu yote ya familia.
Kama unampenda msaidie mambo mengine lakini ikifika muda wa kulipa mahari hiyo ngoma mwache aicheze mwenyewe, ikimshinda basi huyo hakufai.
Kwanini hakufai??
Hakufai kwa sababu suala la kuoa siyo surprise ni suala la kujiandaa. Kama mchumba ameweza kununua mahitaji yake yote, atashindwaje kukulipia mahari!?!
Binti nakwambia usije thubutu kujifanya unamsaidia mwanaume kulipa mahari, hilo ni lake. Ukimpa mahari ujue umejioa mwenyewe dada.
Na wale vijana mnaolipiwa mahari na wazazi wenu pia siwaelewi jamani. Usije ukashangaa mke anakuwa wa ukoo, wao ndiyo wanamcontrol na hauwezi kufanya jambo bila wao.
Na
Winnie Kilemo
Hakuna hela inayoweza kulipa gharama walizotumia wazazi wetu kutulea..haipo!!!Hiv ingekuwa sawa na unavyosema si kila mtu angekuwa ameoa.
Wewe jisemee pekeyako,usisemee wanaume wote.Hiv unajua kuwa wanaume wengi (sio wote lakin) huwa tupo serious kwenye mahusiano tatizo tunayo yakuta huko ndio yanatufanya tuonekane tunawachezea