Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Sijasema mwanamke ni mtumba labda kama ujanielewa, ila nimesema uwezi nunua mtumba usio na ubora kwa gharama kubwa
Kwa sababu Hata mnunuzi ni mtumba kwahiyo hakuna kinachoharibika
 
Hii nayo point kubwa Sana yani?
Yan kama ss wakristu tunateseka sana bas tu.

Wenzetu waislam uwezi wasikia wanalalamika juu ya mahari maana anaeolewa (mlengwa) ndio mpanga mahari anayotaka kutolewa, ila kwetu sasa😂😂😂😂😂
 
Yan kama ss wakristu tunateseka sana bas tu.

Wenzetu waislam uwezi wasikia wanalalamika juu ya mahari maana anaeolewa (mlengwa) ndio mpanga mahari anayotaka kutolewa, ila kwetu sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuteni hela[emoji23][emoji23]
Kulalamika ni dalili ya umasikini
 
Na nyie kulalamika hamtolewi mahali ni umasikini na tamaa ya ndoa hio
Kutolewa mahari ni lazima [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu cha bure,,mahari yenyewe ya mablanket na mashati wala haifikii japo theluthi ya gharama na muda waliotumia kunilea wazazi.

Mkitaka kutuoa mahari ni lazima [emoji23][emoji108]
 
Kutolewa mahari ni lazima [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu cha bure,,mahari yenyewe ya mablanket na mashati wala haifikii japo theluthi ya gharama na muda waliotumia kunilea wazazi.

Mkitaka kutuoa mahari ni lazima [emoji23][emoji108]
Sasa kuna mahari na mtaji wa familia (kukomoa)
 
Hivyo ndivyo imeelekezwa tena had na malipo yake yapo kabisa kibiblia
Sasa nyie mnatembea na mabinti kibao
Mwisho wa siku mnataka bikra.

Ulivyokuwa unachakaza wa wenzio na wewe wako alikuwa anavhakazwa.

Chanzo cha matatizo haya ni wanaume na mahari wanatoa tu!
Hakuna namna.
 
Sasa nyie mnatembea na mabinti kibao
Mwisho wa siku mnataka bikra.

Ulivyokuwa unachakaza wa wenzio na wewe wako alikuwa anavhakazwa.

Chanzo cha matatizo haya ni wanaume na mahari wanatoa tu!
Hakuna namna.
Hiv unajua kuwa wanaume wengi (sio wote lakin) huwa tupo serious kwenye mahusiano tatizo tunayo yakuta huko ndio yanatufanya tuonekane tunawachezea
 
Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.

Tena wengine mnajifanya kupenda sana, unalazimisha kuolewa na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Wengine mnaenda mbali zaidi na kuwasaidia kulipa hizo mahari.

Ukiona umemsaidia kulipa mahari usishangae na huko ndani akakuachia majukumu yote ya familia.

Kama unampenda msaidie mambo mengine lakini ikifika muda wa kulipa mahari hiyo ngoma mwache aicheze mwenyewe, ikimshinda basi huyo hakufai.

Kwanini hakufai??

Hakufai kwa sababu suala la kuoa siyo surprise ni suala la kujiandaa. Kama mchumba ameweza kununua mahitaji yake yote, atashindwaje kukulipia mahari!?!

Binti nakwambia usije thubutu kujifanya unamsaidia mwanaume kulipa mahari, hilo ni lake. Ukimpa mahari ujue umejioa mwenyewe dada.

Na wale vijana mnaolipiwa mahari na wazazi wenu pia siwaelewi jamani. Usije ukashangaa mke anakuwa wa ukoo, wao ndiyo wanamcontrol na hauwezi kufanya jambo bila wao.


Na
Winnie Kilemo
Naomba nikuulize swali bibie, kisha nitasema jambo.

Wewe ungependa mahari yako iwe pesa taslimu au kitu fulani ? Kama pesa Taslimu isiwe chini ya kiasi gani ? (Ukijibu maswali haya kuna udhia nitakwambia)

Kwani kwenye Biblia yenu, kuna sehemu iliyo kataza mume kusaidiwa kulipa mahari au kukopeshwa kwa ajili ya kulipia mahari ?

Je kwenye Biblia kumetajwa kiwango maalumu cha mahari ?

Kibwagizo
Kuna sehemu nyinyi wanawake mnakosea pindi mnapo taja mahari zenu,wengine huwa mnataka mlipiwe mahari kama mtu anaoa ukoo mzima (Samahani lakini huu mfano tu)

Namalizi "al Qasus" kisha narudi.
 
Hiv ingekuwa sawa na unavyosema si kila mtu angekuwa ameoa.
Hakuna hela inayoweza kulipa gharama walizotumia wazazi wetu kutulea..haipo!!!

Na hiyo hela ya mahari na baadhi ya vitu ni Akhsante tu!
Kama vyombo wazazi wanavyo,mashati vitenge ndo usiseme.

Vijana kuto kuoa ni uoga wao tu na fikra potofu.
Hakuna familia inayopanga kumkomoa mtoto wa kiume anayeenda kuoa.
Haipo!.
 
Hiv unajua kuwa wanaume wengi (sio wote lakin) huwa tupo serious kwenye mahusiano tatizo tunayo yakuta huko ndio yanatufanya tuonekane tunawachezea
Wewe jisemee pekeyako,usisemee wanaume wote.
BTW wanaume gani hao walio serious???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Wanawake mngekuwa mnajua thamani ya ndoa kwa kuzingatia maana ya mahari, hakuna kijana katika uso huu wa dunia angeshindwa kutoa mahari.
 
Back
Top Bottom