siku ZOOOOTE....mwanamke ndie MALAYA......hakuna mwanaume MALAYA.....tunaishi kwa uasilia wetu mtakatifu Anne...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana...tafuta mke wa bure,sijui labda waweza kumpata.
Wanaume wa zamani walistahili kuoa binti kigori kwa sababu hata wao walijitunza.
Wanaume wa siku hizi walivyo Malaya halafu wanategemea kuoa bikra na huku wameziharibu wenyewe!!
Watavuna walichopanda.
Pole Sanasiku ZOOOOTE....mwanamke ndie MALAYA......hakuna mwanaume MALAYA.....tunaishi kwa uasilia wetu mtakatifu Anne...
ukinionyesha nukuu ktk utakatifu wako inayotamka "mwanaume malaya"...ITAPENDEZA!!!...sawa hawakuwa malaya,..na hakuna mwanamme malaya......walikuwa wanatoa MAHARI kwa wasichana VIGORI,,,,,not used.... huna bikra mahari ya nini....kwanza ni mchafu.....nakununua nikumiliki....Pole Sana
Hakuna sehemu imeruhusu mwanaume kuwa malaya
Endelea kujifariji ..huwezi kupanda ngano ukavuna mahindi.
Unavyogonga wa wenzio na wewe wako wapo kumgonga ..ni suala la muda tu mnafanya hizo exchange
Na mtaendelea kulia Lia humu kwa ujinga wenu wa kufungua fungua zipu na ukitombi. .wenzenu hawakuwa Malaya.
Yaah wapo wengi walio olewa kwa aya za Qur'an ambazo ukizisoma hazizidi dakika tatu...Yupo aliyewahi kuolewa kwa ubeti wa shairi???
Atakuwa hajitambui haki ya nani
Kwani nyie ni wasafi??ukinionyesha nukuu ktk utakatifu wako inayotamka "mwanaume malaya"...ITAPENDEZA!!!...sawa hawakuwa malaya,..na hakuna mwanamme malaya......walikuwa wanatoa MAHARI kwa wasichana VIGORI,,,,,not used.... huna bikra mahari ya nini....kwanza ni mchafu.....nakununua nikumiliki....
Hongera zenuYaah wapo wengi walio olewa kwa aya za Qur'an ambazo ukizisoma hazizidi dakika tatu...
Na nina mdogo wangu kaoa kwa kitabu cha Qur'an..
Mahari ni chochote kile chenye kuleta wepesi wa ndoa as long as mwanamke asiolewe bure.
Huna bikira, hupaswi kutolewa MAHARI.... wewe ni mchafu(KAHABA).....natoa mahari kukununua.....Kwani nyie ni msafi??
Uahawahi ona chombo kisafi kinachanganywa na vichafu???
Vichafu kwa vichafu
Mwanaume mzinifu si tu malaya bali ni mjinga (Hana akili)
Ni mithali hiyo inasema hivyo
Ulishawahi fungua zipu wewe ni mchafu malayaHuna bikira, hupaswi kutolewa MAHARI.... wewe ni mchafu(KAHABA).....natoa mahari kukununua.....
Huna bikra ....hupaswi kutolewa MAHARI.......wewe ni mwanamke mchafu.....hakuna MWANAUME MALAYA......Ulishawahi fungua zipu wewe ni mchafu malaya
Huna Hadhi ya kuoa bikra.
Uliyataka! haahaahaaha Mwana Kulitafuta Mwana Kulipata!!Ulishawahi fungua zipu wewe ni mchafu malaya
Huna Hadhi ya kuoa bikra.
Ahsanteee
Haya single ladies mnaoelekea kunako pingu mje msome huku.
Wwe endelea kusubiri Mahali yako bado naichanga,cheki na mimi 2025 labda itakua imaeshafikia hata nusu!!Hongera zenu
Ahsantee...karibu sanaaHongera zenu
Kama jinsi mlivyoyatafuta.Uliyataka! haahaahaaha Mwana Kulitafuta Mwana Kulipata!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mimi mahari yangu inapangwa na wazee.Ahsantee...karibu sanaa
Jifunze kutetea hoja.Jifunze kusema kwa nini kitu fulani ni sahihi au siyo sahihi kimantic na wala siyo kusema kila mtu abaki na hoja yake.Kusema kila mtu abaki na hoja yake ni dalili kuu ya kushindwa kutetea hoja yako.Kama unajua kuwa kitu fulani ni sahihi ni lazima uweze kuprove kuwa ni sahihi badala ya kusingizia kuwa kila mtu abaki na mtazamo wake.Kila mtu abaki na mtazamo wake.[emoji2772]
Uwezo wangu umeishia hapoJifunze kutetea hoja.Jifunze kusema kwa nini kitu fulani ni sahihi au siyo sahihi kimantic na wala siyo kusema kila mtu abaki na hoja yake.Kusema kila mtu abaki na hoja yake ni dalili kuu ya kushindwa kutetea hoja yako.Kama unajua kuwa kitu fulani ni sahihi ni lazima uweze kuprove kuwa ni sahihi badala ya kusingizia kuwa kila mtu abaki na mtazamo wake.
Kwa hiyo ulianzisha mada ambayo huijui?Uwezo wangu umeishia hapo
Sasa hivi kinachotokea ni kwamba, hata ndoa zenyewe za harusi zinakufa kifo cha asili.mwache awapoteze wenzake.......
Siijui kivipi??Kwa hiyo ulianzisha mada ambayo huijui?