π Na ndio maana haitakuja tokea kukawa na haki sawa Kama mnavyolilia!Watapewa ya mdomo
Labda kama unataka na wewe ulipiwe mahari uolewe ,na kitu kisichowezekana.
Aisee..Hela lazima zitolewe wewe [emoji23][emoji23]
Tena kuna vitu vitatajwa pale ambavyo wanajua kabisa hujabeba[emoji1787]
Mimi si wa hilo kabila
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2957][emoji2957] JF.
Hongera na kila la kheri.
Hapanakhaaa kama sio msafwa basi walewale tu unanimalizia vidole vyangu!
mbena/mkinga
ππWewe tafsiri vyovyote unavyoweza ila waraka wake unawahusu watu wote.
Sitaki kabisa uwe mwalimu wangu,labda Mimi niwe mwalimu wako[emoji14]
Ada nilishalipa shule miaka mingi iliyopita na nilisoma somo la Elimu ya Biblia pale shule ya wavaa sketi za marinda.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]uwata.......... hivi wana girls kwa advance wale?Wewe tafsiri vyovyote unavyoweza ila waraka wake unawahusu watu wote.
Sitaki kabisa uwe mwalimu wangu,labda Mimi niwe mwalimu wako[emoji14]
Ada nilishalipa shule miaka mingi iliyopita na nilisoma somo la Elimu ya Biblia pale shule ya wavaa sketi za marinda.
Wapi tumelia??[emoji23] Na ndio maana haitakuja tokea kukawa na haki sawa Kama mnavyolilia!
Kama watu wanafanya mpk makubaliano kupanda na kushuka ya mahari Sasa inatofauti ipi ya wewe na muuza nguo mkiwa mnapatana bei..?
Ule ni uuzaji tu Kama uuzaji mwengine tofauti ni lugha ila Mambo ni ni yaleyale..[emoji28]
Marahaba jirani....hujambo.Jirani shikamoo
na mimi niliwahi kusikia, ila sijawah oneshwa mtu anaeishi kwa style hio..........Ila hayo yapo au hayapo?
Tumalize kwa mijadala kwa kusema mahari ni mtazamoWapi tumelia??
Kama wewe utaenda kununua kama nguo basi ni wewe
Na kama utagawa binti yako for free ni wewe pia.
Hakuna anayekupangia cha kufanya [emoji108]
Ipo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]uwata.......... hivi wana girls kwa advance wale?
haya nimekubali uwe mwalimu wangu, venue wapi sasa nianze darasa!
Naomba umuulize tafadhali...Sijajua alilipiwa kiasi gani
Ila Kuna sehemu amesema alilipiwa
Kila weekend nawakula wakujilipiaEndelea kumtafuta wa kujilipia
Sijambo jiraniMarahaba jirani....hujambo.
Sijamaanisha ulivyoelewa aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mkuu siyo JF.
Akhsanteee
unanitukana sasa[emoji849][emoji849][emoji849]Hapana
Mimi siyo wa hayo makabila wanaopenda nyama za yule mlinzi wa usiku[emoji2772]
π€£π€£π€£Nafaa kulipiwa mahari na wala hakuna mwanamke asiyefaa kulipiwa mahari.
Hata unaowaona hawafai ni kwa sababu yenu wanaume..wanaume wa zamani hawakuwa fungua zipu hovyo..nyie wa siku hizi mnapanda ngano mkitegemea kuvuna mahindi!! We ulisikia wapi [emoji23]?
Mahari lazima mtoe tu
Ngoja niweke namba yake hapa umuulize mwenyeweNaomba umuulize tafadhali...
Halafu pia muulize na kwa binti ayetolewa bikira tunatakiwa kulipa mahari kiasi gani?
nimeuliza coz wasema wife anahasara ajili ya kupinga kutolewa mahari kwa ke used, mkuu unadhani kwa sasa hakuna mkazo sana wa mahari kwa familia nyingi? wazazi tayari wanajua watoto wao ni used ndo maana hawatii ngumu kama zamani, zamani utamuoa binti wa nani bila mahari wazee wake wakubali?Mimi au wewe?