Kamwe usithubutu kutafuta maisha mikoani, utakosa hadi nauli ya kurudi Dar!

Kamwe usithubutu kutafuta maisha mikoani, utakosa hadi nauli ya kurudi Dar!

Mikoani Kuna nafasi kubwa ya kutoboa inategemeana na ujuzi na ufahamu ulio nao kwenye jambo unalotaka kulifanya. Hasa ukiwa umetokea dar
 
Nina uhakika mleta mada hujaanza kujitegemea bado upo kwa shemeji ukikua utaacha hayo mawazo ya kipuuzi, wajanja tunazitafuta mikoani tunakuja kuwekeza huko na kula bata.
mkuu habari ya ukerewe, mliacha kutumia mamba watu ?
 
Juzi tu nimemtumia nauli mshikaji wangu alikuwa kakwama huko mikoani kwenye mashamba ya mpunga mbarali
 
Back
Top Bottom