TANZIA Kanali Fabian Massawe, aliyekuwa RC Kagera afariki dunia

R.i.p mwalimu wangu daaaah!viboko vyako na ethics zako vimenijenga sana.Mola akupe thawabu huko uendako!dah!😭
 
Da apumzike kwa amani kamanda Masawe hakika watu wa Karagwe hawata kusahau daima ukiwa DC wa Karagwe
 
R.I.P Rtd. Colonel Massawe Wanakagera tutakukumbuka.
 
Nimesikitika sana kifo cha Kanali Fabian Massawe.
Alikuwa a human face ya Jeshi, JWTZ.
Namkumnuka maana mimi nina asili ya jeshi na baba yangu, afisa w JWTZ ,alipofariki alikuwa mmoja wa maafisa waliokuwa kwenye Guard of Honor.
RIP Col Massawe.
 
Poleni wafiwa poleni Taifa tumepoteza kiongozi sio mtawala mzee wa "Kamunobere" alifurahisha alivyokuwa anaitamka nafuta namba yako kwenye simu ila miyo unaumia,tangulia mkuu sie nyuma yako.
 
Rest in peace headmaster wangu wa jitegemee Kanali Fabian Massawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…