Cheo cha mwisho ni major jenerali au jenerali? Ebu nyoosha hapo mkuu!!
1. Jenerali.
2.Luteni Jenerali.
3.Meja Jenerali.
4.Brigedia Jenerali.
5.Kanali.
6.Luteni Kanali.
7.Meja.
8.Kepten.
9.Luteni.
10.Luteni Usu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheo cha mwisho ni major jenerali au jenerali? Ebu nyoosha hapo mkuu!!
Na ni ngumu wote kustaafu wakiwa ma kanali, luteni kanali au meja.. lazima wengine wakiwa ma captain tu hakuna namanaaaaHhahahahH
Na anaestaafu katika cheo cha kepteni kwa kweli CV yake mbovu
Ila kustaafu kanali au luteni kanali iko poa ni vyeo vya juu unakuwa unajivunia kabisa
Mwanzoni mwa miaka ya tisini niliwahi kuwa na uhusiano na binti yake mmoja pale Arusha; ila watu wenye magesti wakawa wanamzuia kuingia gesti kwa kumwogopa Captain Mushi!!. Ikabidi mikutano yote iwe ni usiku tu, tena kabla ya saa mbili kusudi arudi nyumbani mapema...basi ndiye huyo unayemuona hapo kwenye video.
..unafahamu aliondoka jeshini mwaka gani, kwasababu alikuwa GM wa viwanda vya mbao kwa muda mrefu.
Huyu naye ni mhaya?Akiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.
Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu,
Mimi na mke wangu tuu kitanda chetu kinalaliwa na degree 4.
Nina pesa mbwa haruki,
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee handsome na aliyesoma...
Ukiona gari yangu inapita manzese ujue imeibiwa, toa taarifa,
Nalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo.
Hapo hajazungumzia magari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....
Hahaa anyway ni mtu poa na smart sana, hayo mengine ni mambo binafsi
Na kweli banaAkiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.
Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu,
Mimi na mke wangu tuu kitanda chetu kinalaliwa na degree 4.
Nina pesa mbwa haruki,
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee handsome na aliyesoma...
Ukiona gari yangu inapita manzese ujue imeibiwa, toa taarifa,
Nalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo.
Hapo hajazungumzia magari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....
Hahaa anyway ni mtu poa na smart sana, hayo mengine ni mambo binafsi
Si anaongea sana.Lakini ana udhaifu mkubwa sana.
Hana kifua kabisa cha kuhifadhi mambo
sasa mbona anaitwa misifa?Sio mhaya
Hivi cheo cha mwisho ni Major General au Field Marshal.Upo usemi kuwa maisha ni kama Gwaride wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho na wa mwisho akawa wa kwanza hii yote inategemea gwaride limeamrishwaje
Wiki tatu zilizopita update ni kuwa Martin Mkisi bado yupo kwenye ukanali tangia mwaka 2015
Tarehe 31 August mwaka 2016 Mbuge alikuwa na cheo cha luteni kanali akiwa CO Ruvu katika tarehe hiyo Mkisi alikuwa ni DC Kasulu akiwa ni kanali Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Ndalichako afunga Mafunzo ya Vijana kwa Mujibu wa sheria Ruvu JKT
DC KASULU NA KAMATI YAKE YA ULINZI NA USALAMA WAFANYA OPERESHENI KUKAMATA MAJANGILI NA WATEKAJI
Yaani kwa kifupi ni kwamba katika Uafisa mkuu jeshini Martin Mkisi ni senior kwa Mbuge ila ndio vile tena maisha Gwaride Mbuge kapandishwa haraka haraka na Mkuu wa kaya jiwe
Leo Mbuge yuko ngazi mbili juu ya Martin Mkisi cha kuumiza zaidi Mkisi na Mbuge walikuwa kituo kimoja cha kazi pale Mgulani huku Mkisi akiwa ni mkubwa wa Mbuge
Mkisi kurudi kuwa mkubwa kwa Mbuge ni kama haiwezekani, possible scenario ni labda Mkisi afike kwenye uluteni jenerali wakati huo Mbuge akishindwa au akichelewa kufika kwenye uluteni jenerali na jeshini techinically cheo cha mwisho ni meja jenerali na hakuna uhakika kama Mkisi atafanikisha angalau kufika kwenye ubrigedia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.
Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu,
Mimi na mke wangu tuu kitanda chetu kinalaliwa na degree 4.
Nina pesa mbwa haruki,
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee handsome na aliyesoma...
Ukiona gari yangu inapita manzese ujue imeibiwa, toa taarifa,
Nalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo.
Hapo hajazungumzia magari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....
Hahaa anyway ni mtu poa na smart sana, hayo mengine ni mambo binafsi
Dah. Naibu waziri wa Nishati ana just 35Ni kawaida kwenye maisha hasa hasa ya ajira serikalini. Leo wewe ni mkurugenzi wa wilaya, kuna kijana ofisini kwako kwajitoa ufahamu kaenda kugombea ubunge, kapata na kabahatika uwaziri TAMISEMI ndio ashakuwa bosi wako tena.
Uwe Bakhresa tu ndio utaendelea kuwa bosi mpaka utakapochoka mwenyewe au shughuli zikushinde
Upo usemi kuwa maisha ni kama Gwaride wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho na wa mwisho akawa wa kwanza hii yote inategemea gwaride limeamrishwaje
Wiki tatu zilizopita update ni kuwa Martin Mkisi bado yupo kwenye ukanali tangia mwaka 2015
Tarehe 31 August mwaka 2016 Mbuge alikuwa na cheo cha luteni kanali akiwa CO Ruvu katika tarehe hiyo Mkisi alikuwa ni DC Kasulu akiwa ni kanali Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Ndalichako afunga Mafunzo ya Vijana kwa Mujibu wa sheria Ruvu JKT
DC KASULU NA KAMATI YAKE YA ULINZI NA USALAMA WAFANYA OPERESHENI KUKAMATA MAJANGILI NA WATEKAJI
Yaani kwa kifupi ni kwamba katika Uafisa mkuu jeshini Martin Mkisi ni senior kwa Mbuge ila ndio vile tena maisha Gwaride Mbuge kapandishwa haraka haraka na Mkuu wa kaya jiwe
Leo Mbuge yuko ngazi mbili juu ya Martin Mkisi cha kuumiza zaidi Mkisi na Mbuge walikuwa kituo kimoja cha kazi pale Mgulani huku Mkisi akiwa ni mkubwa wa Mbuge
Mkisi kurudi kuwa mkubwa kwa Mbuge ni kama haiwezekani, possible scenario ni labda Mkisi afike kwenye uluteni jenerali wakati huo Mbuge akishindwa au akichelewa kufika kwenye uluteni jenerali na jeshini techinically cheo cha mwisho ni meja jenerali na hakuna uhakika kama Mkisi atafanikisha angalau kufika kwenye ubrigedia
Mtu wa kuvimba Sana.Kumbe jamaa ni Dully Sykes aka Mr Misifa hahahaa!!
Hivi cheo cha mwisho ni Major General au Field Marshal.
Sielewi.
Ni tabia zake tusasa mbona anaitwa misifa?
Aliacha alirudi jeshini aliachishwaMkuu, Mkisi so aliacha kazi au alirudi Jeshini? Ahsante