Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Wenye kujua kuhusu Elisha Jairo Kavana.?

..pia mnadhimu mkuu wa kwanza wa Jwtz alikuwa ni Elisha Jairo Kavana ambaye alikuwa Luteni ktk Tanganyika Rifles lakini akapandishwa cheo na kuwa Major ktk Jwtz/Tpdf.

..kuna kitu ambacho kimenishangaza kwamba website ya Jwtz haimtaji Elisha Jairo Kavana miongoni mwa wanadhimu wakuu. Badala yake wametajwa wakina Brigadier.Nkwera, Tumainieli Kiwelu, Imran Kombe, Martin Mwakalindile, Geofrey Sayore, Iddi Gahu, na wengine.

..Alexander Gwebe Nyirenda aliondoka jeshini akiwa na cheo cha Lt Col. Raisi Mwinyi kwa kutambua mchango wa Alexander Nyirenda alimpandisha cheo na kuwa Brigadier General akiwa tayari ameshastaafu.

.[/QUOTE]
 
HhahahahH

Na anaestaafu katika cheo cha kepteni kwa kweli CV yake mbovu

Ila kustaafu kanali au luteni kanali iko poa ni vyeo vya juu unakuwa unajivunia kabisa
Na ni ngumu wote kustaafu wakiwa ma kanali, luteni kanali au meja.. lazima wengine wakiwa ma captain tu hakuna namanaaaa
 
..basi ndiye huyo unayemuona hapo kwenye video.

..unafahamu aliondoka jeshini mwaka gani, kwasababu alikuwa GM wa viwanda vya mbao kwa muda mrefu.
Mwanzoni mwa miaka ya tisini niliwahi kuwa na uhusiano na binti yake mmoja pale Arusha; ila watu wenye magesti wakawa wanamzuia kuingia gesti kwa kumwogopa Captain Mushi!!. Ikabidi mikutano yote iwe ni usiku tu, tena kabla ya saa mbili kusudi arudi nyumbani mapema.
 
Akiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.

Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu,
Mimi na mke wangu tuu kitanda chetu kinalaliwa na degree 4.
Nina pesa mbwa haruki,
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee handsome na aliyesoma...
Ukiona gari yangu inapita manzese ujue imeibiwa, toa taarifa,
Nalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo.

Hapo hajazungumzia magari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....

Hahaa anyway ni mtu poa na smart sana, hayo mengine ni mambo binafsi
Huyu naye ni mhaya?
au ndo ule msemo wa kuku na bata,au ndege na bundi?😂😂😂
 
Akiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.

Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu,
Mimi na mke wangu tuu kitanda chetu kinalaliwa na degree 4.
Nina pesa mbwa haruki,
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee handsome na aliyesoma...
Ukiona gari yangu inapita manzese ujue imeibiwa, toa taarifa,
Nalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo.

Hapo hajazungumzia magari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....

Hahaa anyway ni mtu poa na smart sana, hayo mengine ni mambo binafsi
Na kweli bana
Hii ya kulipwa mshahara na Jeshi, Shule na Vyuo ni kweli.
Alikuwa seminar Leader wa DS

Hahahahahhahaha Mkisi alikuwa anariiiiiinga bana.
But ni kweli yote alivokuwa anaringia.
Kuna muda bragging muhimu.
 
Namkumbuka san huyu mwamba pale jitegemeee daaaa kwanxa pindi lake tu ni shoo ya kibabe yaani, motivation za kutosha maana Lila baada ya maelekezo lazima atupie background ya stori fulan
 
Upo usemi kuwa maisha ni kama Gwaride wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho na wa mwisho akawa wa kwanza hii yote inategemea gwaride limeamrishwaje

Wiki tatu zilizopita update ni kuwa Martin Mkisi bado yupo kwenye ukanali tangia mwaka 2015

Tarehe 31 August mwaka 2016 Mbuge alikuwa na cheo cha luteni kanali akiwa CO Ruvu katika tarehe hiyo Mkisi alikuwa ni DC Kasulu akiwa ni kanali Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Ndalichako afunga Mafunzo ya Vijana kwa Mujibu wa sheria Ruvu JKT

DC KASULU NA KAMATI YAKE YA ULINZI NA USALAMA WAFANYA OPERESHENI KUKAMATA MAJANGILI NA WATEKAJI

Yaani kwa kifupi ni kwamba katika Uafisa mkuu jeshini Martin Mkisi ni senior kwa Mbuge ila ndio vile tena maisha Gwaride Mbuge kapandishwa haraka haraka na Mkuu wa kaya jiwe

Leo Mbuge yuko ngazi mbili juu ya Martin Mkisi cha kuumiza zaidi Mkisi na Mbuge walikuwa kituo kimoja cha kazi pale Mgulani huku Mkisi akiwa ni mkubwa wa Mbuge

Mkisi kurudi kuwa mkubwa kwa Mbuge ni kama haiwezekani, possible scenario ni labda Mkisi afike kwenye uluteni jenerali wakati huo Mbuge akishindwa au akichelewa kufika kwenye uluteni jenerali na jeshini techinically cheo cha mwisho ni meja jenerali na hakuna uhakika kama Mkisi atafanikisha angalau kufika kwenye ubrigedia
Hivi cheo cha mwisho ni Major General au Field Marshal.
Sielewi.
 
Akiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.

Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu,
Mimi na mke wangu tuu kitanda chetu kinalaliwa na degree 4.
Nina pesa mbwa haruki,
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee handsome na aliyesoma...
Ukiona gari yangu inapita manzese ujue imeibiwa, toa taarifa,
Nalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo.

Hapo hajazungumzia magari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....

Hahaa anyway ni mtu poa na smart sana, hayo mengine ni mambo binafsi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kawaida kwenye maisha hasa hasa ya ajira serikalini. Leo wewe ni mkurugenzi wa wilaya, kuna kijana ofisini kwako kwajitoa ufahamu kaenda kugombea ubunge, kapata na kabahatika uwaziri TAMISEMI ndio ashakuwa bosi wako tena.

Uwe Bakhresa tu ndio utaendelea kuwa bosi mpaka utakapochoka mwenyewe au shughuli zikushinde
Dah. Naibu waziri wa Nishati ana just 35
 
Upo usemi kuwa maisha ni kama Gwaride wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho na wa mwisho akawa wa kwanza hii yote inategemea gwaride limeamrishwaje

Wiki tatu zilizopita update ni kuwa Martin Mkisi bado yupo kwenye ukanali tangia mwaka 2015

Tarehe 31 August mwaka 2016 Mbuge alikuwa na cheo cha luteni kanali akiwa CO Ruvu katika tarehe hiyo Mkisi alikuwa ni DC Kasulu akiwa ni kanali Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Ndalichako afunga Mafunzo ya Vijana kwa Mujibu wa sheria Ruvu JKT

DC KASULU NA KAMATI YAKE YA ULINZI NA USALAMA WAFANYA OPERESHENI KUKAMATA MAJANGILI NA WATEKAJI

Yaani kwa kifupi ni kwamba katika Uafisa mkuu jeshini Martin Mkisi ni senior kwa Mbuge ila ndio vile tena maisha Gwaride Mbuge kapandishwa haraka haraka na Mkuu wa kaya jiwe

Leo Mbuge yuko ngazi mbili juu ya Martin Mkisi cha kuumiza zaidi Mkisi na Mbuge walikuwa kituo kimoja cha kazi pale Mgulani huku Mkisi akiwa ni mkubwa wa Mbuge

Mkisi kurudi kuwa mkubwa kwa Mbuge ni kama haiwezekani, possible scenario ni labda Mkisi afike kwenye uluteni jenerali wakati huo Mbuge akishindwa au akichelewa kufika kwenye uluteni jenerali na jeshini techinically cheo cha mwisho ni meja jenerali na hakuna uhakika kama Mkisi atafanikisha angalau kufika kwenye ubrigedia

Mkuu, Mkisi so aliacha kazi au alirudi Jeshini? Ahsante
 
Meja Jenerali ni technically cheap cha mwisho
Vyeo vilivyo juu yake ni vikubwa mno halafu kwa leo formation/nguvu ya vyeo hivyo ni kama haihitajiki(Ltgen na Gen) vinakuwa

Back
Top Bottom