TANZIA Kanali Mstaafu, Edmund Mjengwa afariki dunia Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

RIP Kanali Edmund Ramadhan Mjengwa ,mkuu wa wilaya ya Mbinga wa zamani.

Alikuwa mcheshi na muongeaji.
 
Itakua upumuaji..
Hii ngoma inatakiwa sasa iende pale penyewe kabisa..ikamfyeke huyu mshenzi.
utashangaa inakula wazee wako nyumbani halafu stone anaendelea kuzindua misitu.

ugonjwa ni mwana haramu sana,usilete mzaha nao.
 
Ooh dear!
Kanali Mjengwa was a social animal.
Tukinywa sote Bahari Beach.
Rest in peace Colonel
 
kuugua muda

Ugonjwa wake haukufahamika ?
Dodoma, Dar Es Salaam, Arusha, na Kilimanjaro mambo ni mengi sana. Mwingiliano wa Xmas na mwaka mpya. Mikoa mingine kama Kagera n.k Tuendelee na nyungu na asili. Wiki ya Nyungu ila haiko promoted kabisa
 
Apumzike pahala anapostahili
 
Uviko ninini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…