100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Iran wana vinu vipo chini ya milima na vipo site tofauti, Pakistan na nuclear yake haina uwezo kupambana na Iran, unapoanzisha utumiaji wa nuclear ina maana ni silaha za mass destruction, wakiingia level hio kuna silaha deadly za mass destruction nuclear inafuatia.Bomu la nyuklia halitengenezewi msituni au kwenye pagale. Bomu la nyuklia process za kuliunda ni lazima uhusishe nuclear reactors, coolers na mitambo mingine mikubwa iliyo kwenye installations. Na lazima uwe na facilities kubwa kabisa ambazo zote za Iran zinajulikana zilipo.
Kitendo cha Iran kwenda vitani na Pakistan bila kuwa na nukes eti tutatengeneza vita ikiendelea ni kosa kubwa, haitakiwi Pakistan kutumia hata akili za kuvukia barabara kuzuia Iran kuwa na warhead walau moja. Ni kitendo cha kutuma Shaheen III moja yenye nuclear yield ndogo kama 15 TNT kwenye nuclear facilities. Sababu mitambo ya nuclear ya Iran iko nje ya makazi ya watu jangwani uko, unawachapa yield ndogo wanabomokewa hizo reactors zote. Mnabaki kufanya exchange ya cruise na ballistic missiles na hapo Pakistan atakutumia hizi na nyinginezo haziko hapaView attachment 2875915
Asitokee mtu kusema sijui Iran ina air defense system, Shaheen III ni ICBM. Ni Marekani anao uwezo wa kupiga ICBM kwa kutumia Aegis System mfumo wa kwenye meli, mfumo ambao Ulaya wanaweza pewa, na Russia ndio ataweza baadae kwa S-500 (kwa madai yao, which I take it with a grain of salt).
Mnakaa mnajifikirisha as if Pakistan ni mafala.
Iran ime enrich uranium to 60%, Iran sio wajinga, wana projects zao wanadai kutumia uranium kwa matumizi ya kiraia lakini ipo wazi kwa nini kila siku Israel inapiga kelele na kuua wataalamu wake. Vitu vingine tutumie akili ndogo.