Kanda ya Kaskazini si Moshi kwa wachaga tu

Hapo nilipoomba nirekebishwe kama nimekosea na hayo niliyokosea hujayarekebisha.

Sina tatizo na wachaga, nina tatizo na upotoshaji kuwa ukizungumzia kaskazini umezungumzia moshi/wachaga. Wachaga ni sehemu tu ya kaskazini.
Nan kasema kuwa Kaskazini n ya wachaga ...kama sio mawazo yako ya Hofu juu ya ukubwa wa wachaga ...ndo yamepelekea uone watu wanawaza kama ww Kua Kaskazini n ya wachaga tuu

Punguza ofu + chuki relax kafanye research tena uje ukiwa na full info

Muda wa kurekebisha sina coz hujakaa kujifunza umeleta mada kwa mfumo wa kupinga pinga huku ukiwa hujui hata unachokipinga kama uko sahihi nacho
 
Sema ipo wapi hutapoteza lolote...
Serengeti iko katkati ya Arusha na mara But sehemu kubwa ya Serengeti iko mkoa wa Mara ambayo n Lake zone ....
 
Nimeandika ninalofahamu kuhusu kaskazini kama ww unafahamu tofauti au ziada kosoa rekebisha, kama huna muda basi hata kusoma na kuchangia unapoteza muda boss.

HAKUNA CHUKI YOYOTE NILIYO NAYO KWA WACHAGA.
 
Serengeti iko katkati ya Arusha na mara But sehemu kubwa ya Serengeti iko mkoa wa Mara ambayo n Lake zone ....
Ookey. Asante kwa kurekebisha. Arusha ipo kaskazini lakini si ndio?
 
Sema ipo wapi hutapoteza lolote...
Ipo Mkoa wa Mara

Kila kanda inabebwa na kabila moja

Kanda ya ziwa wasukuma
Kusini Wamakonde
Nyanda za juu kusini Wanyakyusa

Acha wivu
 
Tatizo tunasoma kichwa cha habari tu na kuanza kuchambua hoja ya mtu.

Mtanzania ni mvivu sana wa kusoma.
 
Ipo Mkoa wa Mara

Kila kanda inabebwa na kabila moja

Kanda ya ziwa wasukuma
Kusini Wamakonde
Nyanda za juu kusini Wanyakyusa

Acha wivu
Kaskazini inabebwa na wachaga?

Sawa, Tunajua kanda ya ziwa wasukuma ni wengi, same to makabila mengi kila kanda ndo maana sasa population ya wachaga kanda ya kaskazini ina idadi kubwa kiasi gani kugemeralise kuwa wachaga waiwakilishe kaskazini na wamasai woote wa Arusha?

Kilimanjaro sawa ila si Kaskazini.

SINA WIVU NA WACHAGA.
 

Kaskazini inabebwa na wachaga ndio

Ukisema Kaskazini watu watachora picha ya Wachagga

Kumbuka wachagga sio kabila ukishajua hilo inatosha kuelewa

Bila Wachaga Kaskazini imepoa kama uji wa dundi
 
Hawa wa aina hii sijawahi kutana nao. Yaani mpare afurahie kuitwa mchaga? Au laiser afurahie kuitwa mangi?
Wapo sana kakaa nao utaona. Mimi rafiki zangu wa Masai huniambia bibi zao walitoka uchaggani so na wao yafaa waitwe wachagga
 
Hii Inakata moto imagine wewe ni mmbulu harafu wanasema we mchagga
 
Ookey. Asante kwa kurekebisha. Arusha ipo kaskazini lakini si ndio?
Kaskazini
Arusha- Wamasai ,wameru
Manyara - wambulu
Kilimanjaro wachaga +wapare
Tanga- Wasambaa, wazigua ,wabondei,

Hii ndo mikoa inayowakilisha Kanda ya Kaskazini ...
 
Kaskazini inabebwa na wachaga ndio

Ukisema Kaskazini watu watachora picha ya Wachagga

Kumbuka wachagga sio kabila ukishajua hilo inatosha kuelewa

Bila Wachaga Kaskazini imepoa kama uji wa dundi
Najua wachaga si kabila kama wambulu.
Wewe ni mchaga?

Well kama ndio basi si kila sifa ya kuifurahia unajua kwann hii notion ya kaskazini ni wachaga ni mbaya?

Mtu unahukumiwa just sababu ya notion isiyo na uhalisia.....

Baada ya ufisadi kwenye interview panel ya kujaza nafasi member alipendekeza wa kumwajiri ila ni mkazi wa Arusha, then akatokea board member akasema watu wa kaskazini hao ni wachaga tupu na wezi tu Halafu mwenye tuhuma za wizi na kusimamishwa ni mpare si mchaga ila wote wakazi wa Arusha.


HII SI SAWA. UTAJIKUTA MAMBO YA WIZI YOTE YANAHUSISHWA NA WACHAGA HATA KAMA SI MCHAGA ALIYEFANYA, HII INACHANGIWA NA NOTION KUWA KASKAZINI NI WACHAGA.
 
Wachagga kwa sehemu kubwa ni watu (si kabila) wenye asili na/au wanaoishi kandokando au pembezoni mwa kingo za mlima Kilimanjaro, na wana makabila tofauti na hata lugha tofauti.
Kaskazini inabebwa na wachaga ndio

Ukisema Kaskazini watu watachora picha ya Wachagga

Kumbuka wachagga sio kabila ukishajua hilo inatosha kuelewa

Bila Wachaga Kaskazini imepoa kama uji wa dundi
 
Hamna kabila la wambulu,,, kuna wairaqw jomba,, naomba kuwakililisha
Kuna watu hawajui Kuna tofauti kubwa sana kati ya watu wa huku hawajui Kuna wachaga ,wasambaa,wambulu,wapare ( tena mwanga na usangi)wambunghu,waarusha ,wameru,nk wao huona kila MTU ni mchaga
 
Kaskazini
Arusha- Wamasai ,wameru
Manyara - wambulu
Kilimanjaro wachaga +wapare
Tanga- Wasambaa, wazigua ,wabondei,

Hii ndo mikoa inayowakilisha Kanda ya Kaskazini ...
Ok mkuu, ila Kilimanjaro ni sawa kuwakilishwa na wachaga ila si kaskani yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…