PreGE2025 Kanda ya Kusini: Shughuli za Ndanda zasimama mapokezi ya Tundu Lissu

PreGE2025 Kanda ya Kusini: Shughuli za Ndanda zasimama mapokezi ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tukumbuke wengi wao hapo no wakina mama(wanawake) kanga na tshet zinaweza kuwa kitu kikubwa kwao wakasahau yote CCM hawajalala
 
Ukiangalia Picha za Wanachama wa CDM kwenye Mikutano utaona Sura zao ziko na Nuru kuashiria Matumaini.

Njoo upande wapili sasa, Huwezi amini kama ndo wenye Serikali.
 
Back
Top Bottom