PreGE2025 Kanda ya Kusini: Shughuli za Ndanda zasimama mapokezi ya Tundu Lissu

PreGE2025 Kanda ya Kusini: Shughuli za Ndanda zasimama mapokezi ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii ni balaa ,niitieni mzee Wasira na Makalla ,najua mzee Wasira macho yameisha zeeka , mchongeshee ya mbao na msogezeeni simu karibu.
No reforms no election
Screenshot_20250405_174715.jpg

😂😂😂😂😂😂
 
NI YEYE 😊
MUNGU UMCHAGUA AMTAKAE NA HUMCHUKUA AMTAKAE.

MAISHA YA LISU NA PICHA ZA LISU NI USHUHUDA WA KUA MUNGU YUPO NA ANAISHI.

LISU IS A VICTOR.
Haya ni maajabu duniani. Baada ya ile mvua ya risasi mwilini mwa Lissu, hatukutegemea leo huyu jamaa angekuwepo duniani. Na hakuna aliyejua Mwamba jiwe wakati kama huu angekuwa mbolea. Ama kweli MUNGU ndiye mtawala wa majira, nyakati na matukio yote.
 
Back
Top Bottom