PreGE2025 Kanda ya Kusini: Shughuli za Ndanda zasimama mapokezi ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii ni balaa ,niitieni mzee Wasira na Makalla ,najua mzee Wasira macho yameisha zeeka , mchongeshee ya mbao na msogezeeni simu karibu.
No reforms no election
 
hivi hao waliolala chini kwenye vumbi ni maigizo au wale wanaofanyaga hivyo wakiilaki CCM ndio maigizo? :pedroP:

through body language and facial expressions,
Godbless Lema amechoka na kabisa amekata tamaa?

je,
tone tone kidigitali mahesabu yamegoma au tuhuma za kuhujumu agenda za chadema zianampa stress sana?
Nyinyi CCM tunajua na nape alipanda kukanyaga migongo ya wale wa mama wa JIMBONI MTAMA😂🤣🤣

Nyie CCM mna drama Sanaa 😊 na CCM ndie adui namba moja wa TAIFA NYIE NDIO MNAPELEKEA TAIFA KUPOTEZA MUELEKEO..
 
hivi hao waliolala chini kwenye vumbi ni maigizo au wale wanaofanyaga hivyo wakiilaki CCM ndio maigizo? :pedroP:

through body language and facial expressions,
Godbless Lema amechoka na kabisa amekata tamaa?

je,
tone tone kidigitali mahesabu yamegoma au tuhuma za kuhujumu agenda za chademazianampa stress sana?
Kamuulize nape nauye ,mwazilishi wa hayo

Na alitembea mgongoni mwao , tunashukuru lisu hajatembea juu yao
 
hivi hao waliolala chini kwenye vumbi ni maigizo au wale wanaofanyaga hivyo wakiilaki CCM ndio maigizo? :pedroP:

through body language and facial expressions,
Godbless Lema amechoka na kabisa amekata tamaa?

je,
tone tone kidigitali mahesabu yamegoma au tuhuma za kuhujumu agenda za chadema zianampa stress sana?
Cdm haina hela ya kuhonga. Halafu mikutano ya cdm imejaa vijana zaidi. Chama la majizi sasa ni janga full.
 
Watu wana furaha ya moyoni kumwona Lissu,Hongera sana Kiongozi Mwenyezi Mungu akupe hekima na akuongoze kwenye njia sahihi.
 
Ila tuwe wakweli...mbali na siasa huyu mbaba alipopigwa risasi za kuzidi kipindi kile...makanisa mengi waumini wake waliingia kwenye mfungo wa maombi Mwenyezi Mungu amnusuru na kifo....Iliogopesha sana kwa taifa hili lenye amani kufanya unyama kama ule sababu ya siasa
 
hivi hao waliolala chini kwenye vumbi ni maigizo au wale wanaofanyaga hivyo wakiilaki CCM ndio maigizo? :pedroP:

through body language and facial expressions,
Godbless Lema amechoka na kabisa amekata tamaa?

je,
tone tone kidigitali mahesabu yamegoma au tuhuma za kuhujumu agenda za chadema zianampa stress sana?
Eti wakilala kwa CCM ni chawa. Wakilala kwa Chadema eti ni makamanda. Lakini mwisho wa siku wamelala!
 
hivi hao waliolala chini kwenye vumbi ni maigizo au wale wanaofanyaga hivyo wakiilaki CCM ndio maigizo? :pedroP:

through body language and facial expressions,
Godbless Lema amechoka na kabisa amekata tamaa?

je,
tone tone kidigitali mahesabu yamegoma au tuhuma za kuhujumu agenda za chadema zianampa stress sana?
Lissu anarukaruka tu, hana uwezo wowote wa kuzuia uchaguzi. Watu wenyewe ndio hao tu halafu useme eti ni mmbarikiwa!! Ha ha ha ha ha Ni chizi tu huyo.
 
Mbona kama ule utaratibu wa nape kukanyaga wamama waliolala chini unaendelea?

Hili sikubaliani nalo,

Mtu na asichukue Nafasi ya Mungu,

Ibada za sanamu hizi!
Mungu yupi anakanyaga wanawake?
 
Back
Top Bottom