Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Jamaa wanaipenda Tanzania kuliko familia zao asee.Mungu wabariki na walinde Tundu Lissu, John Heche na CHADEMA.
Jamaa wanaipenda Tanzania kuliko familia zao asee.Mungu wabariki na walinde Tundu Lissu, John Heche na CHADEMA.
Hata mimi hilo napinga kwa nguvu zangu zoteMbona kama ule utaratibu wa nape kukanyaga wamama waliolala chini unaendelea?
Hili sikubaliani nalo,
Mtu na asichukue Nafasi ya Mungu,
Ibada za sanamu hizi!
Hawajitambui hao wafuasi wa Lssu, wanapelekeshwa na mtu mwenye faili milembe!!Eti wakilala kwa CCM ni chawa. Wakilala kwa Chadema eti ni makanda. Lakini mwisho wa siku wamelala!
Ni muhimu kuwa na mabadirikoAibu tupu. JESHI LETU LA POLISI baadhi ya Askari NI kama vibaka tuu
Aisee hii clip NI balaa.Kwa namna hii unapigaje kura?
Hakika No Reform No Election ni muhimu sana chukua hii
View attachment 3294039
pamoja sana!!👿 No reform no Election 2025Safi sana hii, hakuna kulala hadi kaburu mweusi CCM anyooshe mikono. Wao wana fedha na bunduki sisi tuna Mungu.
(Mathayo 21:8-10)Dini imekulemaza ubongo, kila sehemu Mungu.
We kibabu unazeeka vibaya 😹😹
Haya yamesemwa kwa tumeona na kusikia kwa masikio yetu.Aisee hii clip NI balaa.
hawezi kuzuia uchaguzi ambao nae pia ni mgombea, anawahadaa na kuwatapeli wanaChadema tu huyo kibaka wa siasa 🐒Lissu anarukaruka tu, hana uwezo wowote wa kuzuia uchaguzi. Watu wenyewe ndio hao tu halafu useme eti ni mmbarikiwa!! Ha ha ha ha ha Ni chizi tu huyo.
siasa bana saa zingine raha sana aise 🐒Eti wakilala kwa CCM ni chawa. Wakilala kwa Chadema eti ni makanda. Lakini mwisho wa siku wamelala!
😹😹😹 Ila Rabbon umeniletea na vifungu vya bible.!! Haya jpili ijayo uende ukatandaze khanga Ekaristi takatifu ipite na usisahau kunialika pasaka nije kula pilau..!!(Mathayo 21:8-10)
8: Watu wengi Katika ule mikutano wakatandaza nguo zao njiani, na wengine wakakata matawi ya miti,wakayatandaza njiani.
9: Na makutano waliotangulia, na wale waliofuata, wakapaza sauti, wakisema, Hosana, mwana wa Daudi, ndiye mbarikiwa, Yeye ajaye kwa jina la Bwana, Hosana juu mbinguni.
Kabisahawezi kuzuia uchaguzi ambao nae pia ni mgombea, anawahadaa na kuwatapeli wanaChadema tu huyo kibaka wa siasa 🐒
Kimenuka
HayaNani amejamba mkuu
Aliyefufuka toka kwa wafu, Yesu Kristo /Yeshua Hamashiach, Mungu Mkuu ndiye anayestahili kuabudiwa.😹😹😹 Ila Rabbon umeniletea na vifungu vya bible.!! Haya jpili ijayo uende ukatandaze khanga Ekaristi takatifu ipite na usisahau kunialika pasaka nije kula pilau..!!
View attachment 3294013
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Ndanda mchana huu kuendelea na Operesheni ya No Reforms No Election.
Ndanda ipo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara
View attachment 3294000View attachment 3294001View attachment 3294002View attachment 3294003View attachment 3294004View attachment 3294005View attachment 3294006View attachment 3294007View attachment 3294008View attachment 3294009View attachment 3294010View attachment 3294011View attachment 3294012
Wataelewa tuView attachment 3294013