PreGE2025 Kanda ya Kusini: Shughuli za Ndanda zasimama mapokezi ya Tundu Lissu

PreGE2025 Kanda ya Kusini: Shughuli za Ndanda zasimama mapokezi ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbona kama ule utaratibu wa nape kukanyaga wamama waliolala chini unaendelea?

Hili sikubaliani nalo,

Mtu na asichukue Nafasi ya Mungu,

Ibada za sanamu hizi!
Mkuu Rabbon Nape alikuwa anatembea juu ya migongo yao.

Hapo hakuna hiyo Extremism
 
NI YEYE 😊
MUNGU UMCHAGUA AMTAKAE NA HUMCHUKUA AMTAKAE.

MAISHA YA LISU NA PICHA ZA LISU NI USHUHUDA WA KUA MUNGU YUPO NA ANAISHI.

LISU IS A VICTOR.

masheikh wanathibitisha: "He is a Victor!"
 

Attachments

nyomi doesn't translate the reality :PresidentSleeper:
Inaoashiria wananchi kuunga mkono Azimio la No Reforms No Election,kumbuka hawa wanakuja wenyewe bila kusombwa na malori kama mazwazwa ya CCM na pia hapa hakuna Diamond wala Harmonize ni elimu ya uraia mwanzo mwisho. Manyang'au ya CCM yanaumia sana.
 

Attachments

  • JamiiForums1012362808.jpeg
    JamiiForums1012362808.jpeg
    39.8 KB · Views: 13
  • Screenshot_20230918-210933.jpg
    Screenshot_20230918-210933.jpg
    109.2 KB · Views: 9
Back
Top Bottom