PreGE2025 Kanda ya kusini: Tundu Lissu azidi kuwasha Moto. Sikujua kama Ruvuma ni ngome ya CHADEMA

PreGE2025 Kanda ya kusini: Tundu Lissu azidi kuwasha Moto. Sikujua kama Ruvuma ni ngome ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
K
Na wakijaribu kuja huku mikoani tutazaa nao. Yule mpuuzi Mwita jimboni kwake wameshamkataa hata reforms zikifanyika hawezi kugombea watamchinjilia mbali baharini kwenye kura za maoni yaani wamejihabia big time kwa wapiga kura.
Biashara kichaa "Nipe hela chukua utu wangu"
 
Safii!
Ila mwenyekiti aache kuvaa hayo makacha mkononi.
Zile ni sensor kaka. Zina uwezo wa kupindisha risasi🤣🤣🤣🤣
Mjukuu: "Babu Leo shuleni
nimechaguliwa kuwa kapteni"

Babu: "Toka hapa,kapteni kwani wewe mwanajeshi?"🤣🤣🤣

Huyo mjukuu ndio Mimi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom