Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Hiyo jamii imelalaNina hamu kubwa kuona kampeni za NO REFORMS NO ELECTION ziikifika kanda ya kati nataka nione mwamko wa Wagogo.
Hiyo jamii imelalaNina hamu kubwa kuona kampeni za NO REFORMS NO ELECTION ziikifika kanda ya kati nataka nione mwamko wa Wagogo.
Unateseka ukiwa wapi? Nchimbi alikuwa na watu au zilikuwa futuhi zile kubeba makundi na maroli?Sasa hapo kuna watu? Umewaangalia wa dk. Nchimbi? Hapo wanataka kumwona Lissu baada ya kukoswakoswa kuuawa. Subirini Oktoba 2025
Hayo Yanaonekana siyo Ya kawaida nahisi yana kitu acha aendelee kuyavaa masela wamu elewe vizuriii..Safii!
Ila mwenyekiti aache kuvaa hayo makacha mkononi.
Yap na hiki ndiyo kipimo sahihi, hapo hawajaahidiwa pombe na nyama.Kuna kitu una kiona kwa jicho la ufundi.. Kwa hiyo audience.. Ni kwamba wanaonekana wamekuja kwa willing yao kusikiliza.. Hoja
Siyo Kuvutwa kuangalia wasaniii au show.. Kama vinavyofanya vyama vingine.. Vinatumia wasaniii... Hiyo mbinu nayo itapitwa...
Mzanzibari mwanamke hana chake. No reforms no election .We kweli popoma, unasema ameufyata kwani Kuna nini' kinaendelea Cha kuchukua muda wake kukishughulikia?!!! Hivi vinyuzi vyenu vya kijingajinga humu jf vya mnavoanzisha Kila dakika na kujibishana wenyewe?!!!
Kweli tuache nyumbu waitwe nyumbu, kupuuzwa mnaita kuufyata?!!!!!!! Mtapata akili mbaaali
Usijidanganye na wangoni/ wamatengo. Ni wanafiki sana wanakuchekea hivyo hivyo na kujaa mkutanoni lakini hao ni CCM FOREVER.Kanda ya kusini: Tundu Lissu azidi kuwasha Moto. Sikujua kama Ruvuma ni ngome ya CHADEMA. Hapa ni Namtumbo
View attachment 3297018View attachment 3297019View attachment 3297020View attachment 3297021View attachment 3297022View attachment 3297023View attachment 3297025View attachment 3297028View attachment 3297029View attachment 3297030View attachment 3297031View attachment 3297032View attachment 3297033View attachment 3297026
View attachment 3297027
Duh ila jmn basi tu ila watu wamechokaKwa miaka mingi Wakazi wa Namtumbo waliichukulia CCM kama dini, na kwamba kama wangethubutu kuiacha basi wasingeuona Ufalme wa Mungu, Walipofushwa kwa kiwango cha kutisha!
Lakini leo Ujio wa Chadema na ule Utukufu wa No Reform No Elecction umevunjilia mbali fikra hizo za Kitumwa na kukata minyororo ya chuma waliyofungwa nayo Wananchi
Kwa kufupisha ni kwamba Wananchi wa Namtumbo wamekubaliana na hoja zote za Chadema bila kupunguza hata moja
View attachment 3297038View attachment 3297039View attachment 3297040View attachment 3297041View attachment 3297042View attachment 3297043
Hili ni Onyo kwa wanaodhani No Reform No Election ni Masihara
We si upo naye hapo umeamka naye kitandani? Haitoshi?😁 Mpe faraja. Wanaume wapo kazini. Wewe endelea kumfariji na kumliwaza.Yaani mbowe ni wa kutengwa leo hii.
Sawa dada Susan kiwanga...We si upo naye hapo umeamka naye kitandani? Haitoshi?😁 Mpe faraja. Wanaume wapo kazini. Wewe endelea kumfariji na kumliwaza.
Ndugu yangu, ni Bora ukachukua boxer za mumeo na kuanza kuzifua utakuwa umefanya jambo la maana kuliko kupoteza muda hapo na hako kandoto kenu ka alinacha. Mnae Samia Hadi 2030, hata mkijifungua njiani kwa hasira Bado atakuwepo tu.Mzanzibari mwanamke hana chake. No reforms no election .
Asante shangazi Mwantumu Kibigisa.Sawa dada Susan kiwanga...
Kamanda Mahinyila aongee nao kilugha.Hiyo jamii imelala