PreGE2025 Kanda ya kusini: Tundu Lissu azidi kuwasha Moto. Sikujua kama Ruvuma ni ngome ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa miaka mingi Wakazi wa Namtumbo waliichukulia CCM kama dini, na kwamba kama wangethubutu kuiacha basi wasingeuona Ufalme wa Mungu, Walipofushwa kwa kiwango cha kutisha!

Lakini leo Ujio wa Chadema na ule Utukufu wa No Reform No Elecction umevunjilia mbali fikra hizo za Kitumwa na kukata minyororo ya chuma waliyofungwa nayo Wananchi

Kwa kufupisha ni kwamba Wananchi wa Namtumbo wamekubaliana na hoja zote za Chadema bila kupunguza hata moja

View attachment 3297038View attachment 3297039View attachment 3297040View attachment 3297041View attachment 3297042View attachment 3297043

Hili ni Onyo kwa wanaodhani No Reform No Election ni Masihara
Inashangaza kuona umati wote huo umehudhiria huo mkutano kwa hiyari yao! Ukija kwenye mkutano wa ccm, malori yanakodishwa ili kuwabeba wafuasi wao kutoka maeneo mengie!

Watoto wadogo wa shule na walimu wao wanashinikizwa kuhudhuria ili kuongeza idadi! Bodaboda wanapewa mafuta ya bure ili kuchangamsha misafsra ya viongozi! Wajumbe wanakusanywa kutoka maeneo tofauti na kubongwa mitungi ya gesi, nk! Hakika kuna tofauti kubwa kati yao.
 
Noma sana
 
Mwambie huyo mzanzibari mwanamke amguse aone moto wake. Mbona ameufyata?
We kweli popoma, unasema ameufyata kwani Kuna nini' kinaendelea Cha kuchukua muda wake kukishughulikia?!!! Hivi vinyuzi vyenu vya kijingajinga humu jf vya mnavoanzisha Kila dakika na kujibishana wenyewe?!!!
Kweli tuache nyumbu waitwe nyumbu, kupuuzwa mnaita kuufyata?!!!!!!! Mtapata akili mbaaali no
 
Wewe mbona unavisoma na kuvishobokea? Huu moto wa No Reform No Election ni wa gas lazina mubabuke tu.
 
Kwa miaka mingi Wakazi wa Namtumbo waliichukulia CCM kama dini, na kwamba kama wangethubutu kuiacha basi wasingeuona Ufalme wa Mungu, Walipofushwa kwa kiwango cha kutisha!

Lakini leo Ujio wa Chadema na ule Utukufu wa No Reform No Elecction umevunjilia mbali fikra hizo za Kitumwa na kukata minyororo ya chuma waliyofungwa nayo Wananchi

Kwa kufupisha ni kwamba Wananchi wa Namtumbo wamekubaliana na hoja zote za Chadema bila kupunguza hata moja

View attachment 3297038View attachment 3297039View attachment 3297040View attachment 3297041View attachment 3297042View attachment 3297043

Hili ni Onyo kwa wanaodhani No Reform No Election ni Masihara
Wazo langu, tu. Wengine hawakuwahi kumuona Lissu baada ya mvua ya risasi mwaka 2017. Tangazo lilipotolewa,, njooni muone muujiza wa mtu anayetembea na risasi mwilini. Nao wakajaa. Waendelee nalo si baya.
 
Wilaya ya Tunduru ni wilaya mojawapo kati ya Wilaya 8 za Mkoa wa Ruvuma, nchini Tanzania.
Wilaya 5 za Mkoa wa Ruvuma wenye Halmashauri 8.. Huku wilya ya Songea ikiwa na Halmashauri 3- Songea Manispaa, Dc na Madaba, Mbinga Dc na Tc, Nyasa, Namtumbo na Tunduru. Japo Tunduru ina tabia nchi sawa na watu wa Mtwara.
 
Lissu amerudisha Imani ya umma kwa
Sasa hapo kuna watu? Umewaangalia wa dk. Nchimbi? Hapo wanataka kumwona Lissu baada ya kukoswakoswa kuuawa. Subirini Oktoba 2025
Wanachokosea ccm kupinga mifumo ya haki ya uchaguzi...kama wanakubalika wanakubalika tu
 
Back
Top Bottom