Kanda ya ziwa ina mawe mazuri ambayo yanaweza kujenga barabara na mitaro mpaka vijijini lakini tumeshindwa

Kanda ya ziwa ina mawe mazuri ambayo yanaweza kujenga barabara na mitaro mpaka vijijini lakini tumeshindwa

Mbinu za kududumiza mwafrica ni kuhakikisha wanakuwa Duni maisha yao yote.

Mvua zikinyesha na baada ya madhara kutokea kama mafuriko na uchafu kujaa kila mahali na magonjwa kulipuka.
Basi huo ndio mpango mzima wa kuzidi kuwafanya muwe mnaruka madimbwi tu au kuvunja magari yenu au kufa kabisa.

Sio kuwa serikali za watu masikini hazijui au kushindwa kusafisha mji na kutengeneza miundombinu, hapana.

Wanataka mzubae huko milele.
Unadhani hakuna mabilioni nchini ya kufanya mambo haya?
Kweli Dar, Nairobi au miji mingine utafananisha na Kuala Lumpur? Au Bangkok?

Sio kuwa tunashindwa bali ni mbinu zao
Tatizo linaanzia pale ambapo kila aina ya ujinga wa mwafrika analaumiwa na kusingiziwa mzungu...ngozi nyeusi imelaaniwa!
 
Haina haja yakusubiri miaka 5, kikatiba wananchi wanaweza piga kura yakumkataa hata ikiwa hajamaliza muda wake kwakuwa wao ndio mabosi, ndio maana ya Lincoln alisema serikali ni watu
Hawa wamedumazwa sana, hawajui hata haki zao.
Wengi hawajui haki zao na kuwa wao ndio mabosi
 
Back
Top Bottom