Nimeishi Musoma na sasa niko Geita, nilichokiona huku serikali na wazazi tuamke. Ukienda clinic ya wajawazito utashangaa kwenye foleni kuna vibinti vya muaka 15 vina ujauzito.
Nilishangaa kata ya Mganza jirani kabisa na Chato binti ana miaka 20 anawatoto wawili, alishaolewa na kuachika. Unajua maana ya msimbe? Msimbe ni mwanamke aliyeolewa akaachka.
Sasa huku si ajabu kukuta binti wa miaka 18 ni msimbe akiwa na watoto wawili. Huku swala la kufunga ndoa lilishasahulika.
Katika wazazi 100 wenye mabinti, kukuta aliyekula mahari kabisa ya binti yake hawazidi wawili. Watoto wanaoana kirahisi na wazazi hawana hiana.
Mtoto akifeli la saba tu mwaka unaofuata anaolewa. Utafiti huu ni kwa mkoa wa Mara na Geita, nasikia na mikoa ya kusini huu ujinga upo. Yaani mtoto wa kike hafaidi ile hali ya kuwa binti au dada, yaani anatoka utoto mpaka kuwa mama.
Mimi nina miaka
Itaendelea.....