Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Taarifa zinawafikia kwa wakati kuanzia ngazi za chini yaani mabalozi?Serikali ni kama inawaogopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa zinawafikia kwa wakati kuanzia ngazi za chini yaani mabalozi?Serikali ni kama inawaogopa
Acha umama we pumbavu sio lazima ucommentUlitaka uolewe wewe mkuu ukaachwa wakaoa dogo wa 15?
Cha ajabu hata uwe na miaka 50 havijali,unaoa tuUnaoa katoto,jioni unarudi kazini unajua umepikiwa ule ,kumbe alikua anacheza rede na watoto wenzie,kachafukaaa
KWAHIYO HILO TATIZO MMELIONA SASA? MAMA YAKO NA BIBI YAKO WALIFANIKIWAJE?Kuna tatizo kubwa sana kwa ma binti kuolewa au kuuza katika umri mdogo. Kwanza hajaandaliwa kimakuzi kuweza kulea mimba, hana elimu ya kutosha ya uzazi, hawajajiandaa kiuchumi nk matokeo yake ni kuzaa watoto wenye utapia mlo ambayo inapelekea udumavu wa akili. Udumavu wa akili ni tatizo kubwa kitaifa kwa sasa kwa sababu unapelekea kuwa na jamii mzigo. Jamii inakuwa mzigo kwa sababu haina uwezo mkubwa wa kiakili wa kufikiri na kutatua changamoto nyingi za maisha. Jamii mzigo inategemea eti viongozi ndiyo watawaletea maendeleo mpaka kwenye kaya zao. Sasa hivi kwa mfano kuna ukame na maji hakuna, sasa jamii mzigo badala ya kufikiria waitane wawili watatu majirani wauze mfugo mmoja mmoja au miwili, ili wachimbe walau kisima cha kawaida wapate maji, au kipindi cha mvua waitane kitongojini kwao wachimbe lambo lao dogo la maji liwasaidie wakati wa kiangazi, wao pesa wabaenda kunywea na kuongea wake (vibinti vya miaka 15) huku wanasubiri serikali. Jamii mzigo mama mjazimzito haendi clinic mapema mpaka mimba inafika miezi 5 au zaidi. Na akienda akipewa vile vidonge vya wajawazito hawamezi wanatupa kwa kukosa elimu. Mtoto akizaliwa na matatizo kama vichwa vikubwa au mgongo wazi wao wanakimbilia kusema kalogwa. Kwa ujumla hii jamii mzigo ndiyo inayoburuzwa sana na wanasiasa kwa kupewa ahadi hewa na kulishwa propaganda za hovyo mpaka wakati mwingine wanauwana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya tofauti za kisiasa. Jamii mzigo uwezo wa kufikiri na kuleta mabadiliko ni mdogo sana.
Mtume yupi huyoo? Mtume Muhammad SAW mke wake alimzidi umri kabisa mtume..Hii ipo tangu jadi hata mtume alioa mwanamke wa miaka 9 sasa unataka wakae nyumbani wanafanya nini?
Hii ndiyo moja ya sababu zinazofanya iwe ngumu kubadilisha hii jamii kwenye mambo ya maendeleo. Nilikuwa huko Katavi na Kigoma kipindi fulani kwenye kazi za uhifadhi wa maliasili, aisee hawa watu wanaharibu misitu, vyanzo vya maji na kila kitu in the name of kilimo na ufugaji. Tukawa tunaendesha mafunzo ili kuwabadili mitizamo na kuwsrlimisha namna bora ya kufanya kilimo na ufugaji wa kisasa. It was almost impossible, yaani uelewa ni mdogo, hawajui kusoma na kuandika, hata Kiswahili fasaha ni shidaaa. Ikabidi tubadili approach tukawa tunatumia njia ya kuwaonyesha sinema, tena za huko kwao walikotoka ambapo walifyeka misitu yote. Yaani kwa nilivyoona kwenye hiyo mikoa walipohamia kama wataendelea na hiyo trend ya uharibifu in 3 to 5 yrs hiyo mikoa itakuwa jangwa na sijui watahamia wapi, labda waende Kongo huko.We unashangaa hao? Mimi last week nmekutana na mmoja 25yrs na ana watoto 6. Hao ndo wako hai, usisahau miscarriage mbili hapo kati. Na bado binti mbichi kbsa ukijichanganya unazama mazima.
Wale watu hasa wasukuma hawana haraka na mambo ya shuke, kwanza unakuta shule ya sekondari ni km 15 kutoka kijiji kilipo, binti asakanye kwa miguu nenda rudi, au apewe injini kiuno (baiskeli) atoboe nayo, do u think atakua motivated? Na hapo usisahau akichelewa skuli anakula stiki za kutosha.
Akirud nyumbani mshua anamwambia akachunge, bado kusanya kuni, bado kufata maji na kupika juu. Akilala n kama maiti.
After hayo yote ujue jamii za wafugaji wanathamini mifugo, so hapo mwamba atatoa ng'ombe 25 chap anachukua pisi
Kina aina ngaoi za ndoa?Kwenye tittle unasema mabinti wanaolewa wakiwa na miaka 15. Kwenye maelezo unasema suala la ndoa lilishasahaulika kabisa.
Wanaolewa vipi kama hakuna ndoa ndugu mleta mada?
Ukitoka itigi kwenda tabora miti yote inaisha,pori la biharamulo na kahama,maeneo ya masumbwe na runzewe miti inaisha kabisa sababu ya kilimo ufugaji na uchomaji mkaa usio rafiki,serikali imelalaHii ndiyo moja ya sababu zinazofanya iwe ngumu kubadilisha hii jamii kwenye mambo ya maendeleo. Nilikuwa huko Katavi na Kigoma kipindi fulani kwenye kazi za uhifadhi wa maliasili, aisee hawa watu wanaharibu misitu, vyanzo vya maji na kila kitu in the name of kilimo na ufugaji. Tukawa tunaendesha mafunzo ili kuwabadili mitizamo na kuwsrlimisha namna bora ya kufanya kilimo na ufugaji wa kisasa. It was almost impossible, yaani uelewa ni mdogo, hawajui kusoma na kuandika, hata Kiswahili fasaha ni shidaaa. Ikabidi tubadili approach tukawa tunatumia njia ya kuwaonyesha sinema, tena za huko kwao walikotoka ambapo walifyeka misitu yote. Yaani kwa nilivyoona kwenye hiyo mikoa walipohamia kama wataendelea na hiyo trend ya uharibifu in 3 to 5 yrs hiyo mikoa itakuwa jangwa na sijui watahamia wapi, labda waende Kongo huko.
Jangwa na njaa viko karibu kuwaua,wanakula kujaza tumbo tu ila hawana chakula bora sababu ya kuzaliana sana,unakuta babu kashazeeka ila analea wajukuu kumi na zaidiHii nchi itakabaliwa na tatizo kubwa sana litokanalo na overpopulation kwa uzaaji wa aina hiyo.Watoto wa miaka 20 wanatakiwa wawe shule wanasoma sio mtaani au vijijini wanazaa
Ingawa umewatukana wasukuma, lakini tazama wapumbavu zaidi: binti akishakuwa na akili kichwani kama unavyodai anageuka kahaba asiyefaa kuwa mke wa ndoa. Huyo kawa mpumbavu zaidi. Hizo taasisi za elimu zimegeuka madanguro ya kila aina ya uchafu. Sababu ni kwamba HAKUNA MWANAMKE ALIYEKUWA DESIGNED KUISHI MBALI NA WAZAZI WAKATI WA UJANA WAKE. Huo ndio ukweli.Wasukuma hawana Akili
Nchi yetu inazidi kuzalisha wapumbavu wengi kwa uzizi
Binti was miaka 14- 20 hawezi kuwa na akili kichwani za kuweza kumlea mtoto .
Uzinzi , tu
Si sawa kwa mujibu wa nani?? Kuna mda acheni asili ashike mkondo wake achaneni na porojo za watafuta fursa kujifanya wanapambania haki za wanawake na hao wanao walazimisha kuitwa watoto wakati ki buolojia na kiuhalisia wamesha kuwa watu wazima.Nimeishi Musoma na sasa niko Geita, nilichokiona huku serikali na wazazi tuamke. Ukienda clinic ya wajawazito utashangaa kwenye foleni kuna vibinti vya muaka 15 vina ujauzito.
Nilishangaa kata ya Mganza jirani kabisa na Chato binti ana miaka 20 anawatoto wawili, alishaolewa na kuachika. Unajua maana ya msimbe? Msimbe ni mwanamke aliyeolewa akaachka.
Sasa huku si ajabu kukuta binti wa miaka 18 ni msimbe akiwa na watoto wawili. Huku swala la kufunga ndoa lilishasahulika.
Katika wazazi 100 wenye mabinti, kukuta aliyekula mahari kabisa ya binti yake hawazidi wawili. Watoto wanaoana kirahisi na wazazi hawana hiana.
Mtoto akifeli la saba tu mwaka unaofuata anaolewa. Utafiti huu ni kwa mkoa wa Mara na Geita, nasikia na mikoa ya kusini huu ujinga upo. Yaani mtoto wa kike hafaidi ile hali ya kuwa binti au dada, yaani anatoka utoto mpaka kuwa mama.
Mimi nina miaka
Itaendelea.....