Kanda ya ziwa mabinti wanaolewa na miaka 15, hii si sawa

Kanda ya ziwa mabinti wanaolewa na miaka 15, hii si sawa

Kama hutaki nikuoe ukiwa na Miaka 15, basi hakikisha ukiwa na miaka 18 na kuendelea ukija nikuoe nikukute na Bikra, tena zote mbili.

Habari ya kujifanya hutaki kuolewa ukiwa na miaka 15. Alafu kumbe unaanza kudanga ukiwa na Miaka 13 ili ukifikisha miaka 18 na kuendelea ndio uolewe huo ni ufala. Nikikuona nitakumega alafu nitakuacha na ukipata Mimba nitakukataa vilevile.
 
Bibi aliolewa akiwa na miaka 20

.
Na alikuwa na elimu ya unesi..

Watoto 9 ..

Hakuna aliyekuwa mlemavu .. wa viungo na akili...

1964...
 
Kwani dini ya mnyaaz inasemaje huko pwani kwenu kuhusu umri wa mwanamke kuolewa?
Hii ni sheria ya nchi sio ya Pwani.

Serikali yako imeshindwa kabisa kupeleka muswada bungeni sheria ya ndoa ifanyiwe marekebisho.

Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inatambua mwanamke kuolewa akiwa na umri wa miaka 15.
 
Wasukuma hawana Akili

Nchi yetu inazidi kuzalisha wapumbavu wengi kwa uzizi

Binti was miaka 14- 20 hawezi kuwa na akili kichwani za kuweza kumlea mtoto .


Uzinzi , tu
Miaka 20 ashindwe kulea mtoto?

Wewe ukute wazazi wako walifunga ndoa baba akiwa na miaka 17 na mama miaka 14 na umelelewa hadi hapo ulipo.

Kama mtoto wa form one anahimili kuwa na wanaume watatu kimapenzi anashindwa nini kuhimili mwanaume mmoja kwenye ndoa?
 
Unashangaa hao?
Mbona historia ya dini yetu pendwa ya Mnyezi Mungu ya kiislamu inatuambia mtume wetu Muhammad alioa kitoto cha miaka 9 na hakuna anayelalamika?
Hayo ni mapokeo tu hayana uthibitisho wa kisayansi.

Lakini sheria ya nchi ambayo sio ya Muhammad inatambua mwanamke kuolewa akiwa na miaka 15.

Wakati huo huo sheria mama inasema mtu yeyote mwenye chini ya miaka 18 anahesabika kuwa ni mtoto.

Sasa nchi yetu inafuata mfumo wa sheria ya kiislamu?
 
Unashangaa hao?
Mbona historia ya dini yetu pendwa ya Mnyezi Mungu ya kiislamu inatuambia mtume wetu Muhammad alioa kitoto cha miaka 9 na hakuna anayelalamika?
Halafu huko alipopataja mleta mada wengi wao ni wagalatia yaani wala mdudu na wala sio wale wafuasi wa Muhammad.

Sasa hapo inaonekana wafuasi wa Yesu ndo huoana zaidi kwenye ndoa za utotoni.
 
Yule mzee kuna points alikuwa anazichukua kwa jamii isiyo elimika mfano ile kauli ya zaeni tu iliwapotosha wengi na jamii hizo ni vigumu kuwa frame ili wakuelewe kuhusu ndoa za utotoni na uzazi wa mpango.Viongozi ni tatizo sana nchi yetu wanapotaka political goals wapo tayari kupotosha.
 
Ndoa za utotoni zipo, sehemu kubwa ya dunia imekubaliana binadamu walio chini ya miaka 18 bado ni watoto.
Hakuna ndoa za utotoni kama aliye opewa ameshapevuka ni hivyo tuu
 
Nimeishi Musoma na sasa niko Geita, nilichokiona huku serikali na wazazi tuamke. Ukienda clinic ya wajawazito utashangaa kwenye foleni kuna vibinti vya muaka 15 vina ujauzito.

Nilishangaa kata ya Mganza jirani kabisa na Chato binti ana miaka 20 anawatoto wawili, alishaolewa na kuachika. Unajua maana ya msimbe? Msimbe ni mwanamke aliyeolewa akaachka.

Sasa huku si ajabu kukuta binti wa miaka 18 ni msimbe akiwa na watoto wawili. Huku swala la kufunga ndoa lilishasahulika.
Katika wazazi 100 wenye mabinti, kukuta aliyekula mahari kabisa ya binti yake hawazidi wawili. Watoto wanaoana kirahisi na wazazi hawana hiana.

Mtoto akifeli la saba tu mwaka unaofuata anaolewa. Utafiti huu ni kwa mkoa wa Mara na Geita, nasikia na mikoa ya kusini huu ujinga upo. Yaani mtoto wa kike hafaidi ile hali ya kuwa binti au dada, yaani anatoka utoto mpaka kuwa mama.

Mimi nina miaka
Itaendelea.....
Ndio maana ya usawa wa kijinsia 50/50
 
Bibi yako wakati anazaa watoto 9 kulikuwa na panya road au kitu kinaitwa ukosefu wa ajira??
Panyaroad wanakuzuia nini wewe yoda kuzaa?

Ukosefu wa ajira ni matokeo ya sera mbovu za nchi yako ..

Pia upungufu wa akili wa wasomi uchwara kama mimi na wewe
 
Kwa nini Tanzania na duniani kote ni kinyume cha sheria kumuuzia pombe mtu aliye chini ya miaka 18?

Kwa nini ni kinyume cha sheria kumuuzia sigara mtu aliye chini ya miaka 18?

Kwa nini hamtaki watu walio chini ya miaka 18 wapige kura?

Kwa nini hamtaki watu walio chini ya miaka 18 waingie mikataba kisheria?

Kwa nini watu walio chini ya miaka 18 hawapewi leseni za kuendesha gari za abiria?
Ila uhalisia unasema bint akisha pevuka si mtotoa tena na ndio uhalisia , sunia mbona inaweza kusema bint wa miaka 35 aitwe mtoro na ikawa je uhalisia unasemaje u anamwitaje binti aliye pevuka mtoto?
 
Hii ni sheria ya nchi sio ya Pwani.

Serikali yako imeshindwa kabisa kupeleka muswada bungeni sheria ya ndoa ifanyiwe marekebisho.

Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inatambua mwanamke kuolewa akiwa na umri wa miaka 15.
Huyo ana chuki pwani izo mambo hazipo kabisa ..Nenda manyara huku karatu ,Kuna wamasai daily wanaozesha watoto umri mdogo kabisa kwa ajili ya kupata ng'ombe ..Hajwai kufika pwani labda lindi na mtwara ila huku kwingine izo ndoa ni nandra sana
 
Back
Top Bottom