Kanda ya ziwa mabinti wanaolewa na miaka 15, hii si sawa

KWAHIYO HILO TATIZO MMELIONA SASA? MAMA YAKO NA BIBI YAKO WALIFANIKIWAJE?
 
Hii ndiyo moja ya sababu zinazofanya iwe ngumu kubadilisha hii jamii kwenye mambo ya maendeleo. Nilikuwa huko Katavi na Kigoma kipindi fulani kwenye kazi za uhifadhi wa maliasili, aisee hawa watu wanaharibu misitu, vyanzo vya maji na kila kitu in the name of kilimo na ufugaji. Tukawa tunaendesha mafunzo ili kuwabadili mitizamo na kuwsrlimisha namna bora ya kufanya kilimo na ufugaji wa kisasa. It was almost impossible, yaani uelewa ni mdogo, hawajui kusoma na kuandika, hata Kiswahili fasaha ni shidaaa. Ikabidi tubadili approach tukawa tunatumia njia ya kuwaonyesha sinema, tena za huko kwao walikotoka ambapo walifyeka misitu yote. Yaani kwa nilivyoona kwenye hiyo mikoa walipohamia kama wataendelea na hiyo trend ya uharibifu in 3 to 5 yrs hiyo mikoa itakuwa jangwa na sijui watahamia wapi, labda waende Kongo huko.
 
Kwenye tittle unasema mabinti wanaolewa wakiwa na miaka 15. Kwenye maelezo unasema suala la ndoa lilishasahaulika kabisa.

Wanaolewa vipi kama hakuna ndoa ndugu mleta mada?
 
Ukitoka itigi kwenda tabora miti yote inaisha,pori la biharamulo na kahama,maeneo ya masumbwe na runzewe miti inaisha kabisa sababu ya kilimo ufugaji na uchomaji mkaa usio rafiki,serikali imelala
 
Hii nchi itakabaliwa na tatizo kubwa sana litokanalo na overpopulation kwa uzaaji wa aina hiyo.Watoto wa miaka 20 wanatakiwa wawe shule wanasoma sio mtaani au vijijini wanazaa
 
Hii nchi itakabaliwa na tatizo kubwa sana litokanalo na overpopulation kwa uzaaji wa aina hiyo.Watoto wa miaka 20 wanatakiwa wawe shule wanasoma sio mtaani au vijijini wanazaa
Jangwa na njaa viko karibu kuwaua,wanakula kujaza tumbo tu ila hawana chakula bora sababu ya kuzaliana sana,unakuta babu kashazeeka ila analea wajukuu kumi na zaidi
 
Wasukuma hawana Akili

Nchi yetu inazidi kuzalisha wapumbavu wengi kwa uzizi

Binti was miaka 14- 20 hawezi kuwa na akili kichwani za kuweza kumlea mtoto .


Uzinzi , tu
Ingawa umewatukana wasukuma, lakini tazama wapumbavu zaidi: binti akishakuwa na akili kichwani kama unavyodai anageuka kahaba asiyefaa kuwa mke wa ndoa. Huyo kawa mpumbavu zaidi. Hizo taasisi za elimu zimegeuka madanguro ya kila aina ya uchafu. Sababu ni kwamba HAKUNA MWANAMKE ALIYEKUWA DESIGNED KUISHI MBALI NA WAZAZI WAKATI WA UJANA WAKE. Huo ndio ukweli.
 
Si sawa kwa mujibu wa nani?? Kuna mda acheni asili ashike mkondo wake achaneni na porojo za watafuta fursa kujifanya wanapambania haki za wanawake na hao wanao walazimisha kuitwa watoto wakati ki buolojia na kiuhalisia wamesha kuwa watu wazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…