Hakuna ndoa za utotoni kama aliye opewa ameshapevuka ni hivyo tuuKama muhanga wa ndoa za utotoni, sishauri kabisa hiki kwa binti yoyote ni mbaya sana hasa kisaikolojia, mbaya mnooo waepusheni mabinti zenu, wadogo zenu na ndoa za aina hii
Hii ni sheria ya nchi sio ya Pwani.Kwani dini ya mnyaaz inasemaje huko pwani kwenu kuhusu umri wa mwanamke kuolewa?
Miaka 20 ashindwe kulea mtoto?Wasukuma hawana Akili
Nchi yetu inazidi kuzalisha wapumbavu wengi kwa uzizi
Binti was miaka 14- 20 hawezi kuwa na akili kichwani za kuweza kumlea mtoto .
Uzinzi , tu
Hayo ni mapokeo tu hayana uthibitisho wa kisayansi.Unashangaa hao?
Mbona historia ya dini yetu pendwa ya Mnyezi Mungu ya kiislamu inatuambia mtume wetu Muhammad alioa kitoto cha miaka 9 na hakuna anayelalamika?
Halafu huko alipopataja mleta mada wengi wao ni wagalatia yaani wala mdudu na wala sio wale wafuasi wa Muhammad.Unashangaa hao?
Mbona historia ya dini yetu pendwa ya Mnyezi Mungu ya kiislamu inatuambia mtume wetu Muhammad alioa kitoto cha miaka 9 na hakuna anayelalamika?
Bibi aliolewa akiwa na miaka 20
.
Na alikuwa na elimu ya unesi..
Watoto 9 ..
Hakuna aliyekuwa mlemavu .. wa viungo na akili...
1964...
Tunazisingizia changamoto .Bibi yako wa karne ya 19 haakisi mabadiliko, realities na changamoto za karne ya 21.
Hakuna ndoa za utotoni kama aliye opewa ameshapevuka ni hivyo tuu
Ndio maana ya usawa wa kijinsia 50/50Nimeishi Musoma na sasa niko Geita, nilichokiona huku serikali na wazazi tuamke. Ukienda clinic ya wajawazito utashangaa kwenye foleni kuna vibinti vya muaka 15 vina ujauzito.
Nilishangaa kata ya Mganza jirani kabisa na Chato binti ana miaka 20 anawatoto wawili, alishaolewa na kuachika. Unajua maana ya msimbe? Msimbe ni mwanamke aliyeolewa akaachka.
Sasa huku si ajabu kukuta binti wa miaka 18 ni msimbe akiwa na watoto wawili. Huku swala la kufunga ndoa lilishasahulika.
Katika wazazi 100 wenye mabinti, kukuta aliyekula mahari kabisa ya binti yake hawazidi wawili. Watoto wanaoana kirahisi na wazazi hawana hiana.
Mtoto akifeli la saba tu mwaka unaofuata anaolewa. Utafiti huu ni kwa mkoa wa Mara na Geita, nasikia na mikoa ya kusini huu ujinga upo. Yaani mtoto wa kike hafaidi ile hali ya kuwa binti au dada, yaani anatoka utoto mpaka kuwa mama.
Mimi nina miaka
Itaendelea.....
Ila uhalisia unasema bint akisha pevuka si mtoto tena na ndio uhalisia , dunia mbona inaweza kusema bint wa miaka 35 aitwe mtoro na ikawa je uhalisia unasemaje u anamwitaje binti aliye pevuka mtoto?Ndoa za utotoni zipo, sehemu kubwa ya dunia imekubaliana binadamu walio chini ya miaka 18 bado ni watoto.
Tunazisingizia changamoto .
Panyaroad wanakuzuia nini wewe yoda kuzaa?Bibi yako wakati anazaa watoto 9 kulikuwa na panya road au kitu kinaitwa ukosefu wa ajira??
Kwani dini ya mnyaaz inasemaje huko pwani kwenu kuhusu umri wa mwanamke kuolewa?
Ila uhalisia unasema bint akisha pevuka si mtotoa tena na ndio uhalisia , sunia mbona inaweza kusema bint wa miaka 35 aitwe mtoro na ikawa je uhalisia unasemaje u anamwitaje binti aliye pevuka mtoto?
Huyo ana chuki pwani izo mambo hazipo kabisa ..Nenda manyara huku karatu ,Kuna wamasai daily wanaozesha watoto umri mdogo kabisa kwa ajili ya kupata ng'ombe ..Hajwai kufika pwani labda lindi na mtwara ila huku kwingine izo ndoa ni nandra sanaHii ni sheria ya nchi sio ya Pwani.
Serikali yako imeshindwa kabisa kupeleka muswada bungeni sheria ya ndoa ifanyiwe marekebisho.
Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inatambua mwanamke kuolewa akiwa na umri wa miaka 15.