nashangaa wanaficha kwa maslahi ya naniCancer na Sickle cell vimetia Nanga kanda ya Ziwa. Wenye mamlaka wako kimiaa utadhan hakuna kinachoendelea.
Hiyo Cancer waambiwe kama ni utitiri wa migodi midogo inayotiririsha maji kwenye vyanzo vya maji, Kama ni Kilimo cha Bustani kando ya Ziwa, Kama ni uvuvi wa Sumu na Samaki wa sumu waseme jamii ichukue hatua.
Basi kama ni suala kijenitiki jamii ijue pia.