fundibaskeli
Member
- Nov 9, 2016
- 84
- 115
Ngoja tusubir wataaalamu watupe vipimoTetemeko dakika moja mkuu?? Si nyumba zote zitakuwa chini? La ukubwa gani?
[emoji23][emoji23][emoji23]nareport live kutoka Nyamarembo hapaGeita hyo chini ni mshimo makubwa,
Tena hiyo mitaa ya Bomani[emoji86]
Sent using Jamii Forums mobile app
chato pia limepita seriouslyItakuwa limetikisa kanda ya ziwa yote.Tusubiri kesho tusikie wenzetu wa Bukoba na Chato.
I think litamtoa mkulu chato na kumludisha dodoma.chato pia limepita seriously
Nadhani ndio kwenye epicenter
Nipo kahama pia,,nlikua nipo bed nmeshangaa kitanda kinacheza mpaka ikabid nitoke nje.Dakika 20 zilizopita hapa Kahama limepita, ni kubwa sana sijawah kuexperience
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusubiria asubuhi utaandika vizuri.Kuna muhuni mmoja anasubiri muangukiwe na vifusi atafune rambirambi[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app