Kanda ya Ziwa Tulishawakataa wote walokataliwa na Hayati Magufuli

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Labda kama hamjui, hii Kanda ndio kupatikana Wanaume, wakuu wa Familia.

Mtaruka ruka wee na majiko ya gesi ya bure mnayodanganyishia Watanzania.

Lakini Kanda ya Ziwa wanajua, Gas imepanda Bei!!!

Hata hivo, Chuma aliwakataa, mkamwondoa, lakini kwa kuwa Mwenye njozi hafi, licha ya kumwondoa, njozi zake bado zinaishi kwa Wana Kanda ya Ziwa!

Ieleweke tu kwamba, mgawa majiko na wenzio, Kanda ya Ziwa hamkubaliki!!
 
ni aibu kubwa kwa waziri wa nishati kudanganya umma kwa kuwapa mitungi ya gesi tena wana ccm wenzake huku akisema zama zimebadilika tunataka kuondokana na nishati ya mkaa! hivi huyu jamaa anaona watanzania hawana akili unaweza kuondokana na nishati ya mkaa kwa kugawa mitingi ya gesi tena kwa wana ccm wenzako halafu hiyo mitungi na gesi yenyewe iliyoghari atanunulia nini! labda kama wanakaa na mitungi ndani kama picha

waziri badala ya kutafta suluhisho ya upandaji wa mafuta na gesi pamoja na umeme kukatikakatika yeye anazunguka na kugawa mitungi hii nchi ngumu sana aisee
 
Kipara ni wale akili kisoda .

Alafu Bado anaishi kwenye zile zama za Watanzania mbumbumbu
 
ni aibu kubwa kwa waziri wa nishati kudanganya umma kwa kuwapa mitungi ya gesi tena wana ccm wenzake huku akisema zama zimebadilika tunataka kuondokana na nishati ya mkaa! hivi huyu jamaa anaona watanzania hawana akili unaweza kuondokana na nishati ya mkaa kwa kugawa mitingi ya gesi tena kwa wana ccm wenzako halafu hiyo mitungi na gesi yenyewe iliyoghari atanunulia nini! labda kama wanakaa na mitungi ndani kama picha

waziri badala ya kutafta suluhisho ya upandaji wa mafuta na gesi pamoja na umeme kukatikakatika yeye anazunguka na kugawa mitungi hii nchi ngumu sana aisee
Anapenda kugawa majiko huyu, kile kipindi pale Mbagala , aligawa ivoivo Majiko akiwa Waziri wa Mazingira .
 
Watu wa kanda ya ziwa ni wapole na hawana majungu ila ...👇🏾
 
Labda kama hamjui, Hii kanda ndo kupatikana Wanaume, wakuu wa Familia .

Mtaruka ruka wee na Majiko ya Gas ya bure mnayodanganyishia Watanzania .

Lkn Kanda ya Ziwa wanajua, Gas imependa Bei!!!

Hata hivo, Chuma aliwakataa, Mkamwondoa, lakini kwakua Mwenye njozi Hafi, Licha ya kumwondoa, Njozi zake bado zinaishi Kwa Wana Kanda ya Ziwa!.

Ieleweke tu kwamba, Mgawa majiko na wenzio, Kanda ya Ziwa Hamkubaliki!!

Tatizo la kutegemea majina badala ya sera. Watanzania wanaheshimu misimamo sisi tunawaheshimu wale kama kule kaskazini au hata Mara ambao waliwachagua wapinzani kwa sera badala ya kufuata watu. Tatizo watu wanaweza kufa halafu mnabaki bila misimamo kama hivi fuateni sera sio watu
 
Mkifikia huku tutawakata vichwa mchana kweupe wafuasi wa aliyempoteza Ben sanane na kumpiga risasi lissu chocheeni usng
 
Tatizo la kutegemea majina badala ya sera. Watanzania wanaheshimu misimamo sisi tunawaheshimu wale kama kule kaskazini au hata Mara ambao waliwachagua wapinzani kwa sera badala ya kufuata watu. Tatizo watu wanaweza kufa halafu mnabaki bila misimamo kama hivi fuateni sera sio watu
Waambie ukweli hawa mapimbi!
 
Labda kama hamjui, hii Kanda ndio kupatikana Wanaume, wakuu wa Familia.

Mtaruka ruka wee na majiko ya gesi ya bure mnayodanganyishia Watanzania.

Lakini Kanda ya Ziwa wanajua, Gas imepanda Bei!!!

Hata hivo, Chuma aliwakataa, mkamwondoa, lakini kwa kuwa Mwenye njozi hafi, licha ya kumwondoa, njozi zake bado zinaishi kwa Wana Kanda ya Ziwa!

Ieleweke tu kwamba, mgawa majiko na wenzio, Kanda ya Ziwa hamkubaliki!!
Kwani ni kampei ya urais au nini?
 
Tatizolw lenu mmejua leo ccm ina walaghai wengi sababu mtu wenu hayupo. Na hata hivyo watu wenu wengi kuondoa Mara hawana msimamo na hawajui wanataka nini. 2025 mtaongoza kwa kuipa kura ccm ukiondoa mkoa wa Mara.

Hamjui mnasimamia nini wala mnataka nini, ndiyo maana kina kipara wanawageuza kama chapati
 
Back
Top Bottom