Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Sio kanda yote ni wafuasi wachache wa RIP JPM.Mimi kilichonishangaza waziri kuipigia promo kampuni ya Rostam(TAIFA) huku akizitenga kampuni zingine shindani.
NB:Kanda ya ziwa acheni ukabila hauna afya kwa taifa letu.