Kanda ya Ziwa Tulishawakataa wote walokataliwa na Hayati Magufuli

Kanda ya Ziwa Tulishawakataa wote walokataliwa na Hayati Magufuli

Labda kama hamjui, hii Kanda ndio kupatikana Wanaume, wakuu wa Familia.

Mtaruka ruka wee na majiko ya gesi ya bure mnayodanganyishia Watanzania.

Lakini Kanda ya Ziwa wanajua, Gas imepanda Bei!!!

Hata hivo, Chuma aliwakataa, mkamwondoa, lakini kwa kuwa Mwenye njozi hafi, licha ya kumwondoa, njozi zake bado zinaishi kwa Wana Kanda ya Ziwa!

Ieleweke tu kwamba, mgawa majiko na wenzio, Kanda ya Ziwa hamkubaliki!!
Kwani wewe ni mmiliki wa watu wote wa kanda ya ziwa hadi uwasemee, jisemee mwenyewe au hata wanaokutegemea lakini siyo kanda ya ziwa

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom