Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kipara ni wale akili kisoda .ni aibu kubwa kwa waziri wa nishati kudanganya umma kwa kuwapa mitungi ya gesi tena wana ccm wenzake huku akisema zama zimebadilika tunataka kuondokana na nishati ya mkaa! hivi huyu jamaa anaona watanzania hawana akili unaweza kuondokana na nishati ya mkaa kwa kugawa mitingi ya gesi tena kwa wana ccm wenzako halafu hiyo mitungi na gesi yenyewe iliyoghari atanunulia nini! labda kama wanakaa na mitungi ndani kama picha
waziri badala ya kutafta suluhisho ya upandaji wa mafuta na gesi pamoja na umeme kukatikakatika yeye anazunguka na kugawa mitungi hii nchi ngumu sana aisee
Anapenda kugawa majiko huyu, kile kipindi pale Mbagala , aligawa ivoivo Majiko akiwa Waziri wa Mazingira .ni aibu kubwa kwa waziri wa nishati kudanganya umma kwa kuwapa mitungi ya gesi tena wana ccm wenzake huku akisema zama zimebadilika tunataka kuondokana na nishati ya mkaa! hivi huyu jamaa anaona watanzania hawana akili unaweza kuondokana na nishati ya mkaa kwa kugawa mitingi ya gesi tena kwa wana ccm wenzako halafu hiyo mitungi na gesi yenyewe iliyoghari atanunulia nini! labda kama wanakaa na mitungi ndani kama picha
waziri badala ya kutafta suluhisho ya upandaji wa mafuta na gesi pamoja na umeme kukatikakatika yeye anazunguka na kugawa mitungi hii nchi ngumu sana aisee
Labda kama hamjui, Hii kanda ndo kupatikana Wanaume, wakuu wa Familia .
Mtaruka ruka wee na Majiko ya Gas ya bure mnayodanganyishia Watanzania .
Lkn Kanda ya Ziwa wanajua, Gas imependa Bei!!!
Hata hivo, Chuma aliwakataa, Mkamwondoa, lakini kwakua Mwenye njozi Hafi, Licha ya kumwondoa, Njozi zake bado zinaishi Kwa Wana Kanda ya Ziwa!.
Ieleweke tu kwamba, Mgawa majiko na wenzio, Kanda ya Ziwa Hamkubaliki!!
Mkifikia huku tutawakata vichwa mchana kweupe wafuasi wa aliyempoteza Ben sanane na kumpiga risasi lissu chocheeni usngLabda kama hamjui, Hii kanda ndo kupatikana Wanaume, wakuu wa Familia .
Mtaruka ruka wee na Majiko ya Gas ya bure mnayodanganyishia Watanzania .
Lkn Kanda ya Ziwa wanajua, Gas imependa Bei!!!
Hata hivo, Chuma aliwakataa, Mkamwondoa, lakini kwakua Mwenye njozi Hafi, Licha ya kumwondoa, Njozi zake bado zinaishi Kwa Wana Kanda ya Ziwa!.
Ieleweke tu kwamba, Mgawa majiko na wenzio, Kanda ya Ziwa Hamkubaliki!!
Waambie ukweli hawa mapimbi!Tatizo la kutegemea majina badala ya sera. Watanzania wanaheshimu misimamo sisi tunawaheshimu wale kama kule kaskazini au hata Mara ambao waliwachagua wapinzani kwa sera badala ya kufuata watu. Tatizo watu wanaweza kufa halafu mnabaki bila misimamo kama hivi fuateni sera sio watu
Kwani ni kampei ya urais au nini?Labda kama hamjui, hii Kanda ndio kupatikana Wanaume, wakuu wa Familia.
Mtaruka ruka wee na majiko ya gesi ya bure mnayodanganyishia Watanzania.
Lakini Kanda ya Ziwa wanajua, Gas imepanda Bei!!!
Hata hivo, Chuma aliwakataa, mkamwondoa, lakini kwa kuwa Mwenye njozi hafi, licha ya kumwondoa, njozi zake bado zinaishi kwa Wana Kanda ya Ziwa!
Ieleweke tu kwamba, mgawa majiko na wenzio, Kanda ya Ziwa hamkubaliki!!
Bora nyie mna kaburi la dictator sisi familia ya ben saanane hata kaburi halipo leteni usng qm nyie
Tatizolw lenu mmejua leo ccm ina walaghai wengi sababu mtu wenu hayupo. Na hata hivyo watu wenu wengi kuondoa Mara hawana msimamo na hawajui wanataka nini. 2025 mtaongoza kwa kuipa kura ccm ukiondoa mkoa wa Mara.Labda kama hamjui, hii Kanda ndio kupatikana Wanaume, wakuu wa Familia.